LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Parestina, Islael na Saudia wamekuwa kwenye mazungumzo ya amani ya mashariki ya kati - majuzi tu walikuwa wa sign makubaliano - cha ajabu hao magaidi wameingilia kati mazungumzo na vita hii sasa. Hamas watafagiliwa Gaza rasmi.

Gaza Strip - Wikipedia

Israel controls Gaza's air and maritime space and six of Gaza's seven land crossings. Israel reserves the right to enter Gaza at will with its military and maintains a no-go buffer zone within the Gaza territory. Gaza is dependent on Israel for its water, electricity, telecommunications, and other utilities.
Ndo nashangaa
Halafu Kuna watu hapa wanafurahia Ile attack!.
Ngoja ss tuone matokeo
Bado ngoma mbichi
 
Yoav Gallant Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema wameizunguka Gaza na hawataruhusu Chakula, Umeme wala Mafuta kuingia

Tunapigana na Binadamu Wanyama sana na Sisi lazima tuwatendee hivyo hivyo, amesisitiza

Watanzania tuzidi kuwaombea ndugu Zetu wa Palestine!
dadadadadaaaah
Mbona wamewakamia vihi kha
 
Nawaombea sana, sababu unaweza kuta maamuzi ya kiongozi mmoja mpuuzi yanaathiri hata wasiohusika,

Na ndio uhalisia, si ajabu kukuta asilimia 99% ya wakazi wa Gaza hawakujua hata mipango ya hao viongozi wao kushambulia Israel, ila malipo wanalipa wao huku hao viongozi wapo mbali na eneo la tukio
Hakika [emoji26]
 
Yoav Gallant Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema wameizunguka Gaza na hawataruhusu Chakula, Umeme wala Mafuta kuingia

Tunapigana na Binadamu Wanyama sana na Sisi lazima tuwatendee hivyo hivyo, amesisitiza

Watanzania tuzidi kuwaombea ndugu Zetu wa Palestine!
Naona mji wa Sodoma & Gomora unaenda kupigwa kiberiti Mchana kweupe MUNGU kashakunja ndita hakuna hata sisimizi atakaebakia salama awamu hii
 
Yoav Gallant Waziri wa Ulinzi wa Israel amesema wameizunguka Gaza na hawataruhusu Chakula, Umeme wala Mafuta kuingia

Tunapigana na Binadamu Wanyama sana na Sisi lazima tuwatendee hivyo hivyo, amesisitiza

Watanzania tuzidi kuwaombea ndugu Zetu wa Palestine!
Sina ndugu uko
 
😂 kijana poleni Muingereza na Mmarekani wote wanakimbilia kupeleka silaha walizo baki nazo, huyu Mhindi sasa anawaingiza waingereza kwenye balaa.

Badaye tutsakia Australia, Ufaransa, Canada na Japan wanapeleka silaha pia.

Nchi gani inajidai ina nguvu kumbe inategemea mataifa mengine, lakini Hamasi hawamuwezi wacha wakamsaidie huyo shoga lakini hashing vita.

Nilisha sema hapa zamani Israel hajawahi pigana vita bila kusaidiwa karibu tutakamata macommandor wa US na Uingereza wametekwa.

Hao vita vyao ni kwa ndege tu hawawezi vita vya chini Hamasi piga hao mashoga
Wenzio sasahvi wanakaangwa kama kuku wa kuchoma we unapiga kelele huku.
 
Nimeshangazwa sana kwa kweli kuona stesheni maarufu ya habari ya nchini Ufaransa inayomilikiwa na serikali-France 24 ikiripoti na kuchambua mzozo wa Israel na Palestine tofauti kabisa kama vifanyavyo vyombo vingine vya magharibi ambavyo vinauelezea mzozo kwa kuegemea upande mmoja ambao wote mnaujua.

Yani hata takwimu wanazozitoa juu watu waliokufa, majeruhi,au waliotekwa (Palestinian and Israelis) zipo very accurate na zinazotolewa na vyombo vya ndani nchini Israel na Palestine.

Je, ni kwamba hakuna uhusiano mzuri baina ya Ufaransa na Israeli??View attachment 2776856
Kumbuka wakimbizi wengi waliopo France ni kutoka Palestine ni waarabu kumbuka Uislam umeshika hatam France
 
Isisahaulike hii...

Wapalestina wengi ni dini mbili tu...waislam na wakristo....

Pamoja una hisia za kiimani ndani yake ila mgogoro huu haujakaa kidini hivyo inavyohisiwa.....

Pendekezo :

TWO STATE SOLUTION

#ShavuaTov[emoji120]
#YetzerHatov[emoji120]
 
Acha wang'antweng'atwe wameacha kuyakanyaga wakayatimba Sasa kinachofuata sitii neno hakuna Cha kulipa kisasi hapo ni kupata funzo tu remember Nagasaki & Heroshima toka lini Japan alijaribu hata kujibu mapigo na kulipa kisasi kuangusha Nuklia pale WDC au NY kapata fundisho
Seems haujui watu wa race Ile mentality yao
 
Huu mwaka taifa teule wameyakanyaga, kweli nimeamini,
USIMUONE KOBE KAINAMA KUMBE ANATUNGA SHERIA.
 
Isisahaulike hii...

Wapalestina wengi ni dini mbili tu...waislam na wakristo....

Pamoja una hisia za kiimani ndani yake ila mgogoro huu haujakaa kidini hivyo inavyohisiwa.....

Pendekezo :

TWO STATE SOLUTION

#ShavuaTov[emoji120]
#YetzerHatov[emoji120]
Ni fundisho kwa vizazi na vizazi usianzishe ugomvi wa Kifo ikiwa unatia huruma
 
Back
Top Bottom