Unajua nini bana wewe,Usianzishe ugomvi wa Kifo ikiwa unatia huruma ukipelekewa Moto endelea kucheka km ulivyoanza kucheka usilie forget about religion we're talking about life & death right here
ishu ya ushoga ipo tangu zama za sodoma na gomora, ni suala pana katika mataifa ya dunia. Amerika na ulaya wameamua kuliweka wazi na mashoga wana vyama vyao.Mkristo mpumbavu tu ndio anaweza kusapoti Israel ambao wapo kinyume hata na Mungu.kwa mfano wanaosapoti ushoga,wanawatesa wapalestina mpaka wapalestina wameamua kulipa.
sema ndugu zako, wewe na nani? stop those sweeping statements!ndugu Zetu wa Palestine!
Juzi Wapalestina walikuwa wanasherehekea mitaani, sasa wanapaza sauti kuilaani Israel na kuomba mataifa mengine yawasidie.Wenzako huko wanaomba po...wewe ongea ongea tu hapa kwa kujifariji...vita mbaya.....Gaza imearibika vibaya.....umeme umeshakatwa, hakuna kusambaza chakula, hakuna maji.......sasa hayo maisha gani?....Wahuni wachache wanaleta mahafa kwa watu maelfu 😡
Hao Hamas wanapata nini kwa kinachoendelea sasa pale GAZA.
Wakristo hawana tabia za kuua watu na kulazimisha watu wawe waislam huoni hao magaidi wanaua na kusema Allah akbar.? Wapi kwenye bibblia kuna Allah Akbar ?Tipical Tanzanians,what a silly comment..!!what a silly person you are..
Thinking that the massacre of Palestine by israelies its like killing of cockroaches muslims,failing to understand that the conflict has got nothing in connection with christianity or the so called UKAFIR by myself..
My friend there are a lot of christians who are palestinians too,to think that palestianians are muslims and praising Jews as the Nation of God its the sign of your pure ignorance,wake up the Jews doesnt even recognize JESUS AS THEIR GOD,THE OF GOD OR OTHERWISE..
Hapa Sasa Kuna tatizo, maana ulikuwa unaelezea historia halafu reference Yako ni Quran, nimechallenge tu kuhusu tarehe ya matukio unayoelezea na tarehe ya QURAN umesema nikawaulize tena hao Wana wa israel. Wakati Mimi nimekuuliza Wewe uliyekuwa unaelezea historia.Qur'an ndio kitabu authentic zaidi kuliko vyote, na habari za hao wana wa israeli zimeelezwa kwenye torati na injili na zaburi, Qur'an imekuja kuziswadikisha tu hizo habari, na ndio maana ukisoma Qur'an utaona kuna challenges ndani yake kuwa kama una mashaka na haya tunayokusimulia basi waulize wenyewe wana wa israeli watakueleza ni kweli ama uongo, kwasababu kwenye vitabu vyao mambo hayohayo yameelezwa pia.
All in all, kuamini ni jambo linahitaji ufanye utafiti mwenyewe bila kuwa biased akili yako kuwa huru.
Sini walikuwa wanajipiga selfieUsianzishe ugomvi wa Kifo ikiwa unatia huruma ukipelekewa Moto endelea kucheka km ulivyoanza kucheka usilie forget about religion we're talking about life & death right here
😂 kijana poleni Muingereza na Mmarekani wote wanakimbilia kupeleka silaha walizo baki nazo, huyu Mhindi sasa anawaingiza waingereza kwenye balaa.
Badaye tutsakia Australia, Ufaransa, Canada na Japan wanapeleka silaha pia.
Nchi gani inajidai ina nguvu kumbe inategemea mataifa mengine, lakini Hamasi hawamuwezi wacha wakamsaidie huyo shoga lakini hashing vita.
Nilisha sema hapa zamani Israel hajawahi pigana vita bila kusaidiwa karibu tutakamata macommandor wa US na Uingereza wametekwa.
Hao vita vyao ni kwa ndege tu hawawezi vita vya chini Hamasi piga hao mashoga
Hamas wenyewe wanatumia hao hao wanawake na watoto kama human shield. Unafikiri missile itajua kuwa huyu ni mwanamke au mtoto? Mbinu hizi za Hamas ndizo zitasababisha collateral damage iwe kubwa. Kama kweli wako ngangari waondoke kwenye maeneo ya raia wakazichape kavu kavu huko man to man!WAliofanya hicho kitendo ni Hamas walipiziwe wao siyo watoto na wanawake ambao hata bunduki hawaijui
Kuna vijana wajinga SANA, wao wanatanguliza mihemko ya imani zao kuliko utashi na weledi katika kujenga hoja.
Kitu kinachoitwa vita/baa la njaa sikia tu kwa jirani.
Kwenye vita huwa hakuna mshindi ila mnaamua kutumia meza ya duara kutafuta suluhu.
Mataifa ya Sudan, Rwanda, Msumbiji, Congo Dr, Ukraine, Israel, Palestina na West Africa, hali wanazopitia sio za kushabikia kijinga jinga hata sekunde moja.