LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mnadhani saudia Arabia itakubalii iingilie uo mdogoo? Haiwezi. Haiwszi kuifanya Dubai iwe maghofu.. ndio maana unaona hata mtoto wa mfalme anakua against nao
 
Usianzishe ugomvi wa Kifo ikiwa unatia huruma ukipelekewa Moto endelea kucheka km ulivyoanza kucheka usilie forget about religion we're talking about life & death right here
Unajua nini bana wewe,
Ukilewa kazi kupayuka tuu.
 
Mkristo mpumbavu tu ndio anaweza kusapoti Israel ambao wapo kinyume hata na Mungu.kwa mfano wanaosapoti ushoga,wanawatesa wapalestina mpaka wapalestina wameamua kulipa.
ishu ya ushoga ipo tangu zama za sodoma na gomora, ni suala pana katika mataifa ya dunia. Amerika na ulaya wameamua kuliweka wazi na mashoga wana vyama vyao.

Ni nchi za afrika na asia tu ndizo hazijaweka mambo hayo wazi ila yapo, tena hata bongo ushoga upo kitambo tu hususani Dar.

Huwakumbuki akina anti abuu, anti kaoge na wengine wengi waliokuwa wazi kujisadifu bila woga kuwa ni mashoga konki?

Suala la waisral na wapelestina mgogoro wao ni wa kihistoria si wa leo na haijulikani utaisha lini licha kuwa na wanasuluhishwa lakini baada ya muda vinaibuka vikundi vya wapiganaji kuishambulia israel
 




 
Wenzako huko wanaomba po...wewe ongea ongea tu hapa kwa kujifariji...vita mbaya.....Gaza imearibika vibaya.....umeme umeshakatwa, hakuna kusambaza chakula, hakuna maji.......sasa hayo maisha gani?....Wahuni wachache wanaleta mahafa kwa watu maelfu 😡
Hao Hamas wanapata nini kwa kinachoendelea sasa pale GAZA.
Juzi Wapalestina walikuwa wanasherehekea mitaani, sasa wanapaza sauti kuilaani Israel na kuomba mataifa mengine yawasidie.

Mungu wabariki Waisraeli, Mungu ibariki Israel.
 
Silaha hizo zinafahamika kama "white phosphorus bombs" ni aina ya incendiary weapons ambazo zina madhara makubwa ya kusabisha moto katika kila kitu itakachogusa na kukiyeyusha hata iwe chuma cha pua. Kwa binadamu madhara yake hayaelezeki.

Silaha hizo ni moja kati ya silaha zilizopigwa marufuku kutumika katika makazi wanamoishi watu au vitani na Umoja wa mataifa (UN).

Hii ni mara ya pili kwa Israel kutumia silaha hiyo ukanda wa Gaza. Mara ya kwanza ilikuwa ni katika mapigano ya 2008-2009 (Rain of Fire: Israel's Unlawful Use of White Phosphorus in Gaza)


View attachment 2776905View attachment 2776907
images%20(15).jpg
images%20(19).jpg
Screenshot_2023-10-09-16-57-35-307_com.android.chrome.jpg


Source: PTVBreaking
 
Tipical Tanzanians,what a silly comment..!!what a silly person you are..

Thinking that the massacre of Palestine by israelies its like killing of cockroaches muslims,failing to understand that the conflict has got nothing in connection with christianity or the so called UKAFIR by myself..

My friend there are a lot of christians who are palestinians too,to think that palestianians are muslims and praising Jews as the Nation of God its the sign of your pure ignorance,wake up the Jews doesnt even recognize JESUS AS THEIR GOD,THE OF GOD OR OTHERWISE..
Wakristo hawana tabia za kuua watu na kulazimisha watu wawe waislam huoni hao magaidi wanaua na kusema Allah akbar.? Wapi kwenye bibblia kuna Allah Akbar ?
 
Hao israel wafanye mpango waje na huku tuwape eneo..
Watupe umeme..maji..na miundombinu mingine ya uhakika..
Mbona wenye uhitaji tupo
 
Heavy exchanges of fire on Lebanon border: more terror infiltrations suspected, residents told to go into secure rooms; Israeli forces & attack helicopters mobilized.
 
Qur'an ndio kitabu authentic zaidi kuliko vyote, na habari za hao wana wa israeli zimeelezwa kwenye torati na injili na zaburi, Qur'an imekuja kuziswadikisha tu hizo habari, na ndio maana ukisoma Qur'an utaona kuna challenges ndani yake kuwa kama una mashaka na haya tunayokusimulia basi waulize wenyewe wana wa israeli watakueleza ni kweli ama uongo, kwasababu kwenye vitabu vyao mambo hayohayo yameelezwa pia.

All in all, kuamini ni jambo linahitaji ufanye utafiti mwenyewe bila kuwa biased akili yako kuwa huru.
Hapa Sasa Kuna tatizo, maana ulikuwa unaelezea historia halafu reference Yako ni Quran, nimechallenge tu kuhusu tarehe ya matukio unayoelezea na tarehe ya QURAN umesema nikawaulize tena hao Wana wa israel. Wakati Mimi nimekuuliza Wewe uliyekuwa unaelezea historia.

Tafadhali Nielezee kwa ushahidi hiyo historia.
Believe me, Mimi sio biased kivyovyote vile maana Sina interest na upande wowote hapo. I'm Purely Afrocentric.
Kwangu Mimi Quran,Biblia,Veda nk. Ni vitabu tu kama vitabu vya Shaban Robert au Ngugi wa thiong'
 
Tuache kuandika kishabiki, weka hapa source ya hii habari coz hata Google wenyewe hawamtambui Shekhov Soram, mtu mkubwa kama huyu vyombo vingi vya habari vingeandika habari yake
 
😂 kijana poleni Muingereza na Mmarekani wote wanakimbilia kupeleka silaha walizo baki nazo, huyu Mhindi sasa anawaingiza waingereza kwenye balaa.

Badaye tutsakia Australia, Ufaransa, Canada na Japan wanapeleka silaha pia.

Nchi gani inajidai ina nguvu kumbe inategemea mataifa mengine, lakini Hamasi hawamuwezi wacha wakamsaidie huyo shoga lakini hashing vita.

Nilisha sema hapa zamani Israel hajawahi pigana vita bila kusaidiwa karibu tutakamata macommandor wa US na Uingereza wametekwa.

Hao vita vyao ni kwa ndege tu hawawezi vita vya chini Hamasi piga hao mashoga

Sijaelewa nini umeandika maana nafuatilia sana kinachoendelea kwa sasa na hamna ulichoandika kinaendana na tunachoshuhudia, kimsingi wavaa makobaz wameminywa, misikiti ikasambaratishwa na maafa mengi tu na bado Israel haijaanza kulipiza kisasi.

07israelgaza-photos-01-gmtw-videoSixteenByNine3000.jpg
 
WAliofanya hicho kitendo ni Hamas walipiziwe wao siyo watoto na wanawake ambao hata bunduki hawaijui
Hamas wenyewe wanatumia hao hao wanawake na watoto kama human shield. Unafikiri missile itajua kuwa huyu ni mwanamke au mtoto? Mbinu hizi za Hamas ndizo zitasababisha collateral damage iwe kubwa. Kama kweli wako ngangari waondoke kwenye maeneo ya raia wakazichape kavu kavu huko man to man!

Vita havina macho ati!
 
Kuna vijana wajinga SANA, wao wanatanguliza mihemko ya imani zao kuliko utashi na weledi katika kujenga hoja.


Kitu kinachoitwa vita/baa la njaa sikia tu kwa jirani.

Kwenye vita huwa hakuna mshindi ila mnaamua kutumia meza ya duara kutafuta suluhu.

Mataifa ya Sudan, Rwanda, Msumbiji, Congo Dr, Ukraine, Israel, Palestina na West Africa, hali wanazopitia sio za kushabikia kijinga jinga hata sekunde moja.

Yaani mshambulie kwa maroketi mkijibiwa mnaanza kuandika andika filosofia...
 
Back
Top Bottom