LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mkuu kwanza mfano wako wa Kufananisha na Masai hauendani na uhalisia wa Hawa jamaa wa Israel!! Mm nilikuliza asili ya Ng'ombe ni ipi? Jibu litakuja hao ni viumbe ambao na wenyew wameumbwa kama Binadamu na Kila mtu ana haki ya kuvimiliki.

Lakin hao Israel hapo ni kwao na asili yao ni hapo Umetoa mfano mzuri kuwa kuhusu Kilwa Kuwa ilikua ikitawaliwa na wajemi? Swali ni Kuwa hao wajemi walikua wa Kuja au ni asili yao ni hapo Kilwa?

Leo Mtu akija akwambie hama Tz sabab hii aridhi siyo yako je utakubali? Jibu ni hapana kwann kwa sabab hiyo Aridhi ni ya Mababu na Mabibi zako ulio rithishwa tangu enzi enz na mda mwingine kunakua na vielelezo kama makaburi nk.

Sasa ni Kama Israel Mungu aliwapa Aridhi lakin kwa sabab kulikuwapo utawala Wa Kibabe ndo ulikua unawaondoa kwenye aridhi yao na hapo ndo hao wapalestina na Nchi jirani zikawa zinajichukulia Aridhi,, lakin hiyo haiondoi ukweli Kuwa hiyo Aridhi ni ya Israel na Mungu aliwapa waimiliki milele Soma👇
Mwanzo 17 : 8 Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayoikaa ugeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao.
Hapo Ni Mungu akimwambia Ibrahim. Na alimpa ahadi kede kede juu ya Taifa hilo
 
Mbona kama hii conflict ya Hamas vs Israel ni faida sana kwa NATO na US kwa sababu walikuwa wanapigika sana kule Ukraine na media nyingi now zimefocus kwenye hii conflict na kutusahaulisha yale ya Ukraine ya kulalamika kuishiwa ammunitions
 
BREAKING:
German internet users have been able to identify one of Hamas men who murdered the 22-year-old German-Israeli Shani Louk (the woman whose body was seen on a pick-up truck)His name is Mahmoud Abourjila

Mahmoud Abourjila was identified thanks to having uploaded a number of pictures to his Google phone account which shows him wearing the same polo-shirt, pants and sandals as he is wearing in the infamous video with him holding Shani's hair on top of the pick-up truck
Most of the pictures uploaded on his phone's Google account have tagged locations.

Most of them are ca 15km from where Shani was attacked.

In a picture dated from August 22nd, he was wearing the same same polo-shirt as Shani's murderer from the pick-up truck video.
 
MSAKO SAFISHA GAZA, Wamelitaka wenyewe. Wamechokoza nyuki.. walikua wanaua na kujipiga selfie sasa wanapata comeback wanaanza kulialia
 
nakifahamu unachokiandika ndo maana kwa faida ya jukwaa nimeuliza ili wadau wajue kuwa kuna mengi yanafichwa sana kwa habari ya hao jamaa wanaotandikana hapo mashariki ya kati. Na bahati mbaya tumelishwa matango pori na tunaishi na habari za upande mmoja tu. Ukirejea history ya hao watoto wa Yakobo, utaona walipokuwa wakitoka Misri, kuna nchi waliikwepa sababu ilikuwa ikikaliwa na ndugu zao, hao waliokwepwa hapo ili wasigombane ni wa uzao wa Ishmael au Esau??

Tuendelee kujifunza zaidi, ipo siku kweli itauweka ulimwengu huru na kila kitu kitakuwa wazi.
 
hamas sio makatili,alikamatwa askari gillad myahuni na walikaa nae zaidi ya miaka 10 lakini walipomuachia wala hakuwa na dosari yoyote
 
Asante Mkuu kwa kuelewan hapo
Kama sikosei ilikua Nchi Ya Esau maana uzao wa Yakobo Na Esau haujawai kuelewana walikua wanagombana sana na kuna mda waligombana sana.

Lakini piah kalikuwepo kanchi kanaitwa Ai haka Kanchi piah kaliwasumbua sijui kalikua ni upande upi Wa Ishmael ama Esau lakin Badae kalivamiwa kwenye utawala wa Sauli kakapigwa vibaya mno.
 
this time middle east countries wameamua kuikomboa palestina,, trust me marekani kumuua GEneral Suleiman was a wrong move,, wanajua wanahali tete,, tena dola inaenda kufa rasmi.
Ndugu mimi namini kabisa nchi za Europe, US na Nato hawataweza kumsaidia Israel zaidi ya kelele tu, Mrusi kisha wafilisi na hi point ndio Hezbullah yuko wazi kabisa US hawezi msaidia Israel zaidi ya hapo hizo silaha walizo peleka zitaisha. Na hapo ndio Israel watapokea kipigo takatifu kutoka Iran
 
No food, no water, no gas, no electricity yani hawa Punguani kila kitu walikuwa wanategemea kwa watoto wa Yakobo. Wameyatimba vibaya sana, Gaza inapukutika, vigenge vyenu unavyoswalia vinachamvuliwa mpaka nondo moja moja.Mkong'to upo pale pale
Na baada ya vita kuisha, njaa inaanza rasmi, jumlisha na hali mbaya ya uchumi watakayo kuwa nayo wizi utaanza, wizi na ujambazi husababishwa na njaa kali.

Je, walijipanga?? Au bado wanamsikilizia Iran?

Russia kabla hajamvamia Ukraine alijapanga vizur sana, alijua vikwazo atakavyo wekewa na madhara yake, alihakikisha hata kama mambo yakienda vibaya, food reserves anazo za kutosha za kumlisha kila mwananchi kwa miaka mingi, wenzetu wana akili hawajiingizi kweny vita bila kuhakikisha mambo yapo vizur nyumbani.
Hawa Palestine kumbe hata percentage kubwa ya umeme ulikuwa unatoka Israeli, aisee nawaonea huruma sana hawa jamaa, vita ikiisha watakufa njaa na wataanza kugeukiana.
 
Asante kwa somo zuri mkuu.
 
Mbona kama hii conflict ya Hamas vs Israel ni faida sana kwa NATO na US kwa sababu walikuwa wanapigika sana kule Ukraine na media nyingi now zimefocus kwenye hii conflict na kutusahaulisha yale ya Ukraine ya kulalamika kuishiwa ammunitions
Kuna Technique unachezwa hapo Mkuu tunafichwa tu maana kule Ukraine saiv hamna habari na US ni wajanja sana wale Jamaa
 
Urusi yupo busy anazurura kwa kiduku kuomba mgruneti na vifaa vya kuchimbia mitaro kwisha kazi yake huyo nabii wenu putin hatoki kwenye mahandaki sasa atawezaje kuwafilisi US na Europe ambao wako free?
 
Kuna Technique unachezwa hapo Mkuu tunafichwa tu maana kule Ukraine saiv hamna habari na US ni wajanja sana wale Jamaa
Wakuchezee wewe ili wafaidike na nini kutoka kwako kwani RT si ipo fungulia usikilize na kuangalia sio lazima ukeshe CNN BBC na Aljezira au kwenye social media za west kama facebook whatsapp au X kesha kwenye hiyo midude yenu isiyokuwa na watumiaji
 
Naona mji wa Sodoma & Gomora unaenda kupigwa kiberiti Mchana kweupe MUNGU kashakunja ndita hakuna hata sisimizi atakaebakia salama awamu hii
Eti Mungu kakunja ndita
Nimecheka

Jmn hapa tumeambiwa isarel haina kitu itapigwa ...
Mi nimesema yangu macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…