Kwa kweli ni msiba mkubwa kwa ISRA
Acheni ushabiki wa kidini!Atobolewe macho yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni ushabiki wa kidini!Atobolewe macho yote
Mkuu kwanza mfano wako wa Kufananisha na Masai hauendani na uhalisia wa Hawa jamaa wa Israel!! Mm nilikuliza asili ya Ng'ombe ni ipi? Jibu litakuja hao ni viumbe ambao na wenyew wameumbwa kama Binadamu na Kila mtu ana haki ya kuvimiliki.Mzee, hii hoja haina mantiki. Kama ingelikuwa na mantiki dunia isingekalika!
Kuna jamaa alitoa mfano humu kuwa wamasai kwa imani yao ng'ombe wote ni kwa ajili yao wapo chini yao.
Kwa imani hiyo Mmasai aitumie kila akikuta ng'ombe ajibebee tu kisa kwa kile wanachoamini wao?
Au waje mabudha kutoka mataifa tofauti wadai kuwa Budha amewaambia nchi yao ya ahadi ni Tanzania hivyo tuliyomo Tz inatubidi tuondoke wewe utaondoka? Kisa imani yao ya kibudha? Au kila ng'ombe mmasai ana haki ya kumchukua tu kisa imani yao?
Ukanda wa Kilwa ilikuwa ni dola ile inayojitegemea na mpaka imeandikwa kwenye kitabu cha Ibn Batuta. Ilikuwa inatawaliwa na waajemi (Iran).
Iran akija leo akisema ni sehemu ya kwao kisa waliambiwa ni urithi wao kwa imani zao za kale wewe kama mtanzania utakubali kulitoa eneo lote la Tanzania lilikuwa Dola ya Kilwa ya zamani?
Miaka 70 iliyopitaIla hao Palestine c ndio wameanza kuliamsha !?
nakifahamu unachokiandika ndo maana kwa faida ya jukwaa nimeuliza ili wadau wajue kuwa kuna mengi yanafichwa sana kwa habari ya hao jamaa wanaotandikana hapo mashariki ya kati. Na bahati mbaya tumelishwa matango pori na tunaishi na habari za upande mmoja tu. Ukirejea history ya hao watoto wa Yakobo, utaona walipokuwa wakitoka Misri, kuna nchi waliikwepa sababu ilikuwa ikikaliwa na ndugu zao, hao waliokwepwa hapo ili wasigombane ni wa uzao wa Ishmael au Esau??Kabla ya Isaka mtoto Alie zaliwa alikua anaitwa Ishmael ambaye Ibrahim alizaa na kijakazi wake ambaye alikua akiitwa hajira
Soma👇
Mwanzo 16 : 2 Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, Bwana amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
Mwanzo 16 : 15 Hajiri akamzalia Abramu mwana wa kiume; Abramu akamwita jina lake Ishmaeli, yule mwanawe, ambaye Hajiri alimzaa.
Baada ya hapo Sarah akamchukia Yule kijakazi ambaye ni Hajira akamtesa mpaka yule Kijakazi akakimbia lakin hata hivyo Biblia inasema Mungu alimrudisha.
So Kibiblia haionyeshi alienda wapi Ishmael alienda wapi lakin ukisoma history yake alienda inaonyesha Ishamel aliishi pande za Shuru kuelekea Misri!! Soma👇
Mwanzo 25 : 17 Na hii ndiyo miaka ya maisha ya Ishmaeli, miaka mia na thelathini na saba. Akakata roho, akafa, akakusanyika kwa watu wake.
Mwanzo 25 : 18 Wakakaa toka Havila mpaka Shuri, unaoelekea Misri, kwa njia ya kwenda Ashuru. Akakaa katikati ya ndugu zake wote.
Hapa inaonyesha baada ya kufa so alipo zikwa Sasa na hii inaonyesha hayo ndo makao yake na kunaa baadhi ya Wana theology huwa wanasema Ishmael ndo alikua Babu wa Mohammad yule wa Waislamu na ndo Chimbuko la Kislmu limetokea hapo na pia wanasema ndo mtu wa kwanza Kuzungumzia Ki-arabu.
Kuhusu Urithi wa Ishmael Mungu alimbariki sana alimpa aridhi na aliapa atamfanya Kuwa Taifa kubwa soma👇
Mwanzo 17 : 20 - Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.
Lakini pia unaweza soma Mwanzo hiyo Sura 25 nzima utaona uzao wa Ishmael
Unaweza fuatilia Mkuu Ili ujue kiundani zaidi.
Esau inaonyesha baada ya Kuwa na Ugomvi Mkubwa na ndugue Esau alihama kutoa nchi ya ndugue akaelekea katika Nchi ya Seiri katika Nyika ya Edomu ambayo kwa Sasa ipo Yordani .
Soma👇
Mwanzo 36 : 8 Esau akakaa katika mlima Seiri, Esau ndiye Edomu.
Piah ukisoma hapa inaonyesha Kuwa Ujumbe unatumwa kwenda Esau ambaye alikua ktka makazi yake.
Mwanzo 32 : 3 Basi, Yakobo akapeleka wajumbe mbele yake kwenda kwa Esau nduguye mpaka nchi ya Seiri katika nyika ya Edomu.
Unaweza fuatilia ujue zaidi Mkuu
hamas sio makatili,alikamatwa askari gillad myahuni na walikaa nae zaidi ya miaka 10 lakini walipomuachia wala hakuwa na dosari yoyoteHivi mnashinda kwa raha gani watz??Hivi mna habari kuwa mkuu wa kikosi cha jeshi la Israel cha kupambana na ugaidi ambaye amehusika na mauaji ya viongozi wengi wa Hamas na Palestina amekwishadakwa na Hamas?
Kupatwa kwa taifa teule! Huyu sijui watamfanya nini nashindwa kuimagine
BREAKING: Absolutely massive news out of Gaza!!!!!!!!!! Saraya al-Qassam has just captured Commander Shekhov Soram of the elite 'Israeli' counterterrorism unit, YAMAM! [https://abs-0] [https://abs-0] Who is Commander Soram, you ask?!?!?!?!? This HAT-RAT [https://abs-0] [https://abs-0] is one of the killers of none other than Lions' Den [https://abs-0] founder Ibrahim al-Nabulsi (R.A.), who was murdered by multiple IOF battalions on August 9th, 2022!View attachment 2776830
Hakua na silaha hizo Japan lkn Angelikua nazo Mambo yangekua tofauti remember jicho Kwa jicho na Japan huijuiSeems haujui watu wa race Ile mentality yao
Asante Mkuu kwa kuelewan haponakifahamu unachokiandika ndo maana kwa faida ya jukwaa nimeuliza ili wadau wajue kuwa kuna mengi yanafichwa sana kwa habari ya hao jamaa wanaotandikana hapo mashariki ya kati. Na bahati mbaya tumelishwa matango pori na tunaishi na habari za upande mmoja tu. Ukirejea history ya hao watoto wa Yakobo, utaona walipokuwa wakitoka Misri, kuna nchi waliikwepa sababu ilikuwa ikikaliwa na ndugu zao, hao waliokwepwa hapo isi wasigombane ni wa uzao wa Ishmael au Esau??
Tuendelee kujifunza zaidi, ipo siku kweli itauweka ulimwengu huru na kila kitu kitakuwa wazi.
Ndugu mimi namini kabisa nchi za Europe, US na Nato hawataweza kumsaidia Israel zaidi ya kelele tu, Mrusi kisha wafilisi na hi point ndio Hezbullah yuko wazi kabisa US hawezi msaidia Israel zaidi ya hapo hizo silaha walizo peleka zitaisha. Na hapo ndio Israel watapokea kipigo takatifu kutoka Iranthis time middle east countries wameamua kuikomboa palestina,, trust me marekani kumuua GEneral Suleiman was a wrong move,, wanajua wanahali tete,, tena dola inaenda kufa rasmi.
Na baada ya vita kuisha, njaa inaanza rasmi, jumlisha na hali mbaya ya uchumi watakayo kuwa nayo wizi utaanza, wizi na ujambazi husababishwa na njaa kali.No food, no water, no gas, no electricity yani hawa Punguani kila kitu walikuwa wanategemea kwa watoto wa Yakobo. Wameyatimba vibaya sana, Gaza inapukutika, vigenge vyenu unavyoswalia vinachamvuliwa mpaka nondo moja moja.Mkong'to upo pale pale
Asante kwa somo zuri mkuu.Kabla ya Isaka mtoto Alie zaliwa alikua anaitwa Ishmael ambaye Ibrahim alizaa na kijakazi wake ambaye alikua akiitwa hajira
Soma👇
Mwanzo 16 : 2 Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, Bwana amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
Mwanzo 16 : 15 Hajiri akamzalia Abramu mwana wa kiume; Abramu akamwita jina lake Ishmaeli, yule mwanawe, ambaye Hajiri alimzaa.
Baada ya hapo Sarah akamchukia Yule kijakazi ambaye ni Hajira akamtesa mpaka yule Kijakazi akakimbia lakin hata hivyo Biblia inasema Mungu alimrudisha.
So Kibiblia haionyeshi alienda wapi Ishmael alienda wapi lakin ukisoma history yake alienda inaonyesha Ishamel aliishi pande za Shuru kuelekea Misri!! Soma👇
Mwanzo 25 : 17 Na hii ndiyo miaka ya maisha ya Ishmaeli, miaka mia na thelathini na saba. Akakata roho, akafa, akakusanyika kwa watu wake.
Mwanzo 25 : 18 Wakakaa toka Havila mpaka Shuri, unaoelekea Misri, kwa njia ya kwenda Ashuru. Akakaa katikati ya ndugu zake wote.
Hapa inaonyesha baada ya kufa so alipo zikwa Sasa na hii inaonyesha hayo ndo makao yake na kunaa baadhi ya Wana theology huwa wanasema Ishmael ndo alikua Babu wa Mohammad yule wa Waislamu na ndo Chimbuko la Kislmu limetokea hapo na pia wanasema ndo mtu wa kwanza Kuzungumzia Ki-arabu.
Kuhusu Urithi wa Ishmael Mungu alimbariki sana alimpa aridhi na aliapa atamfanya Kuwa Taifa kubwa soma👇
Mwanzo 17 : 20 - Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.
Lakini pia unaweza soma Mwanzo hiyo Sura 25 nzima utaona uzao wa Ishmael
Unaweza fuatilia Mkuu Ili ujue kiundani zaidi.
Esau inaonyesha baada ya Kuwa na Ugomvi Mkubwa na ndugue Esau alihama kutoa nchi ya ndugue akaelekea katika Nchi ya Seiri katika Nyika ya Edomu ambayo kwa Sasa ipo Yordani .
Soma👇
Mwanzo 36 : 8 Esau akakaa katika mlima Seiri, Esau ndiye Edomu.
Piah ukisoma hapa inaonyesha Kuwa Ujumbe unatumwa kwenda Esau ambaye alikua ktka makazi yake.
Mwanzo 32 : 3 Basi, Yakobo akapeleka wajumbe mbele yake kwenda kwa Esau nduguye mpaka nchi ya Seiri katika nyika ya Edomu.
Unaweza fuatilia ujue zaidi Mkuu
Kuna Technique unachezwa hapo Mkuu tunafichwa tu maana kule Ukraine saiv hamna habari na US ni wajanja sana wale JamaaMbona kama hii conflict ya Hamas vs Israel ni faida sana kwa NATO na US kwa sababu walikuwa wanapigika sana kule Ukraine na media nyingi now zimefocus kwenye hii conflict na kutusahaulisha yale ya Ukraine ya kulalamika kuishiwa ammunitions
🤣🤣🤣Wamalizane naye tu,kikawaida
Urusi yupo busy anazurura kwa kiduku kuomba mgruneti na vifaa vya kuchimbia mitaro kwisha kazi yake huyo nabii wenu putin hatoki kwenye mahandaki sasa atawezaje kuwafilisi US na Europe ambao wako free?Ndugu mimi namini kabisa nchi za Europe, US na Nato hawataweza kumsaidia Israel zaidi ya kelele tu, Mrusi kisha wafilisi na hi point ndio Hezbullah yuko wazi kabisa US hawezi msaidia Israel zaidi ya hapo hizo silaha walizo peleka zitaisha. Na hapo ndio Israel watapokea kipigo takatifu kutoka Iran
Nashangaa jamaniYaani muwachokoze wao halafu wakijibu mapambano muanzee kulalamika?
Wakuchezee wewe ili wafaidike na nini kutoka kwako kwani RT si ipo fungulia usikilize na kuangalia sio lazima ukeshe CNN BBC na Aljezira au kwenye social media za west kama facebook whatsapp au X kesha kwenye hiyo midude yenu isiyokuwa na watumiajiKuna Technique unachezwa hapo Mkuu tunafichwa tu maana kule Ukraine saiv hamna habari na US ni wajanja sana wale Jamaa
I wonder 🤷Walitegemea nn?
Kwamba utavamia na kuua unarmed innocent civilians alaf utarudi Gaza kula biriani?
Eti Mungu kakunja nditaNaona mji wa Sodoma & Gomora unaenda kupigwa kiberiti Mchana kweupe MUNGU kashakunja ndita hakuna hata sisimizi atakaebakia salama awamu hii