LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kuna zaidi ya hizo. Hivyo vifusi vya majengo kwa sasa ni makaburi ya muda.
Gaza hapaingiliki wala kutokeka, hakuna huduma inaenda, no maji, no umeme no madawa no chakula.
Wale waliokuwa wanasifia Israel kuvamiwa na kuona km hamas wamefanya kitu Cha kishujaa
Siwaoni Tena....
 
Punde tu mawasiliano ya simu yanaenda kukatwa huko Gaza. Kwanza kwa kudhibiti mawasiliano katika ile strip, pili simu kuishiwa kuishiwa chaji, simu kupotea n.k


Naona kinachoenda kufuata kule ni part la kimyakimya.

Tutajitahidi tuwezavyo kutafuta vyanzo zaidi vya taarifa na videos kutoka platforms mbalimbali za mashariki ya kati.

Ingawa siku nne zijazo mitaa ya Gaza itatawaliwa na harufu kali za miili ya watu, maana vile vifusi vya majengo kwa sasa ni kama makaburi ya muda...hali si nzuri, inasikitisha sana.
 
Magaidi mnapongezana ila ni mapema mno na safari hii ndio wale mabikra watakuwa na wakati mgumu sana kwani hiyo jehanamu yao itajaa mashahidi kibao. Ngoja tuone.
Wanqpongezana na Gaza kimenuka
Hakuingiliki ,hakutokeki...
Achana na story check live news kinachoendelea...

Twende tutafika tu
 
Mimi ni MKRISTO PURE toka ninazaliwa, tumefundishwa anayeibariki Israel atabarikiwa na anayeilaani atalaaniwa.


Hapo nimeongea madhara yatokanayo na vita pasipokujalisha vita hiyo inapiganwa Israel/Africa/Ukraine/Palestine au Bolivia.

Kimsingi unapofyatua maroketi kwenda kwa makazi ya watu, tena dhidi ya taifa lenye uwezo mkubwa kijeshi, usitegemee wakuimbie taarab, lazima utajibiwa tena kwa nguvu kali sana na wala usilie lie.
 
Kimsingi unapofyatua maroketi kwenda kwa makazi ya watu, tena dhidi ya taifa lenye uwezo mkubwa kijeshi, usitegemee wakuimbie taarab, lazima utajibiwa tena kwa nguvu kali sana na wala usilie lie.
Hamas wamechezea sharubu za Simba
 
No comment,
 
Si ajabu hata kidogo. Hata Samsoni alitiwa mikononi mwa Wafilisti kwa sababu maalum.
 
Urusi yupo busy anazurura kwa kiduku kuomba mgruneti na vifaa vya kuchimbia mitaro kwisha kazi yake huyo nabii wenu putin hatoki kwenye mahandaki sasa atawezaje kuwafilisi US na Europe ambao wako free?
We tatizo unamini propoganda za US na Europe si wanamsaidia Israel sa ona kila mmoja anakimbia kuchukua rai wake


Pesa yake srael's shekel slumped even after the Bank of Israel walisema wanaprepared to sell tens of billions of dollars in foreign exchange ili ku boost pesa yao.


Hamasi hataki pesa walizowea kumpoza Hamasi kwa pesa ili asimamishe vita kasema hana shida.

Huyo King wa Jordan akiendelea kuingiza silaha za US na Europe Union kisije kibao kikamgeukia mwache tu aendele na ujinga wake.

Saud Arabia kisha ona hana faida kufanya usala.a na Israel sababu wamegundua ka.a Israel kumbe ni simba kwenye picture tu πŸ˜‚

Hamasi piga hao wanao onea watoto na wanawake mpaa wajue kuwa na ndege na silaha si kushinda vita, vita wanapigana wanaume si mashoga



View: https://youtu.be/vRFEfaDbtyk?si=Vu1_uJczFHSbTXqv
 
Kitu ambacho kimeniacha hoi ni kama ulivyosema. Mimi nilidhani litaingia Gaza kupambana wao wanaangusha mabomu.

Kwa tafsiri nyengine Israel ikipambana na nchi yenye Air defensive System yenye ufanisi hata 70% Israel inatawanywa ndani ya muda mfupi.

Na tukumbukue Hamas wenyewe wanatumia roketi kushambulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…