LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kuna zaidi ya hizo. Hivyo vifusi vya majengo kwa sasa ni makaburi ya muda.
Gaza hapaingiliki wala kutokeka, hakuna huduma inaenda, no maji, no umeme no madawa no chakula.
Wale waliokuwa wanasifia Israel kuvamiwa na kuona km hamas wamefanya kitu Cha kishujaa
Siwaoni Tena....
 
Punde tu mawasiliano ya simu yanaenda kukatwa huko Gaza. Kwanza kwa kudhibiti mawasiliano katika ile strip, pili simu kuishiwa kuishiwa chaji, simu kupotea n.k


Naona kinachoenda kufuata kule ni part la kimyakimya.

Tutajitahidi tuwezavyo kutafuta vyanzo zaidi vya taarifa na videos kutoka platforms mbalimbali za mashariki ya kati.

Ingawa siku nne zijazo mitaa ya Gaza itatawaliwa na harufu kali za miili ya watu, maana vile vifusi vya majengo kwa sasa ni kama makaburi ya muda...hali si nzuri, inasikitisha sana.
 
Magaidi mnapongezana ila ni mapema mno na safari hii ndio wale mabikra watakuwa na wakati mgumu sana kwani hiyo jehanamu yao itajaa mashahidi kibao. Ngoja tuone.
Wanqpongezana na Gaza kimenuka
Hakuingiliki ,hakutokeki...
Achana na story check live news kinachoendelea...

Twende tutafika tu
 
Mimi ni MKRISTO PURE toka ninazaliwa, tumefundishwa anayeibariki Israel atabarikiwa na anayeilaani atalaaniwa.


Hapo nimeongea madhara yatokanayo na vita pasipokujalisha vita hiyo inapiganwa Israel/Africa/Ukraine/Palestine au Bolivia.

Kimsingi unapofyatua maroketi kwenda kwa makazi ya watu, tena dhidi ya taifa lenye uwezo mkubwa kijeshi, usitegemee wakuimbie taarab, lazima utajibiwa tena kwa nguvu kali sana na wala usilie lie.
 
Kimsingi unapofyatua maroketi kwenda kwa makazi ya watu, tena dhidi ya taifa lenye uwezo mkubwa kijeshi, usitegemee wakuimbie taarab, lazima utajibiwa tena kwa nguvu kali sana na wala usilie lie.
Hamas wamechezea sharubu za Simba
 
Mambo mazuri yanakuja
Screenshot_2023-10-09-18-10-46-699_com.twitter.android.jpg
 
Israel haiwezi kupigana na Hizbullah na wao wanajua.

Hizbullah hawatumii tena roketi kama Hamas. Lile ni jeshi kamili. Na kama unakumbuka Israel aliivamia Lebanon na jeshi la nchi kushindwa kuilinda nchi ndipo Hizbullah wakaingia vitani. Israel alichezea kichapo! Alipigwa ndani ya Lebanon na nyumbani kwake.

Hamas ni kakikundi tu ambacho hakina ndege vita, ADS, kwa ufupi si jeshi kamili. Ukipima kwa haraka haraka utagundua Israel bado ni mwepesi. Haiwezi kikundi kidogo uite mpaka reserve ya wanajeshi 3,000,000.

Na ukitaka kuangalia uoga wake ameshindwa kuingia ndani ya Gaza anachofanya ni kurusha tu mabomu. Angeingia Gaza kuwasaka kabisa kama Mrusi alivyofanya Ukraine. Ila hili hawezi kwa sababu nguvu ya Israel ni anga.
No comment,
 
Hivi mnashinda kwa raha gani watz??Hivi mna habari kuwa mkuu wa kikosi cha jeshi la Israel cha kupambana na ugaidi ambaye amehusika na mauaji ya viongozi wengi wa Hamas na Palestina amekwishadakwa na Hamas?

Kupatwa kwa taifa teule! Huyu sijui watamfanya nini nashindwa kuimagine

BREAKING: Absolutely massive news out of Gaza!!!!!!!!!! Saraya al-Qassam has just captured Commander Shekhov Soram of the elite 'Israeli' counterterrorism unit, YAMAM! [https://abs-0] [https://abs-0] Who is Commander Soram, you ask?!?!?!?!? This HAT-RAT [https://abs-0] [https://abs-0] is one of the killers of none other than Lions' Den [https://abs-0] founder Ibrahim al-Nabulsi (R.A.), who was murdered by multiple IOF battalions on August 9th, 2022!View attachment 2776830
Si ajabu hata kidogo. Hata Samsoni alitiwa mikononi mwa Wafilisti kwa sababu maalum.
 
Urusi yupo busy anazurura kwa kiduku kuomba mgruneti na vifaa vya kuchimbia mitaro kwisha kazi yake huyo nabii wenu putin hatoki kwenye mahandaki sasa atawezaje kuwafilisi US na Europe ambao wako free?
We tatizo unamini propoganda za US na Europe si wanamsaidia Israel sa ona kila mmoja anakimbia kuchukua rai wake


Pesa yake srael's shekel slumped even after the Bank of Israel walisema wanaprepared to sell tens of billions of dollars in foreign exchange ili ku boost pesa yao.


Hamasi hataki pesa walizowea kumpoza Hamasi kwa pesa ili asimamishe vita kasema hana shida.

Huyo King wa Jordan akiendelea kuingiza silaha za US na Europe Union kisije kibao kikamgeukia mwache tu aendele na ujinga wake.

Saud Arabia kisha ona hana faida kufanya usala.a na Israel sababu wamegundua ka.a Israel kumbe ni simba kwenye picture tu 😂

Hamasi piga hao wanao onea watoto na wanawake mpaa wajue kuwa na ndege na silaha si kushinda vita, vita wanapigana wanaume si mashoga



View: https://youtu.be/vRFEfaDbtyk?si=Vu1_uJczFHSbTXqv
 
Leta ushahidi wa hayo unayo sema na sio kubwabwaja.

Unajaribu sana kuipamba na kuikuza Israel lakini uhalisia wake unakuumbua lakini ww bado tu ume kaza fuvu.

Ulianza unasifia ufanisi wa Mosad lakini leo hii Israel ina pigwa ambush ya kipumbavu na kizembe kabisa iliyo leta maafa ambayo sidhani kama hata tz inaweza kupigwa ambush ya kipuuzi namna hiyo.

Mara jeshi la Israel ni bora lakini zaidi ya wanajeshi 5000,wa Israel wame tumia zaidi ya siku tatu kupambana na wanamgambo wasio zidi mia mbili wenye silaha duni walio kuwa wameteka maeneo huko kusini mwa Israel.
Jeshi bora badala liingie kwenye medani lipambane, lenyewe limekomalia kupiga majengo kutoka angani kwani majengo sasa hivi huwa yana pigana?
Eti he bora lime kusanya zaidi ya wanajeshi laki 3 kwenda kupambana na kundi lenye wapiganaji wasio zidi 10,000 hiki ni kichekesho kikuu😀😀😀😀😀😀😀.
Eti leo hii jeshi bora limekuwa la kutegemea kutumia njaa kama silaha ili kumdhohofisha adui.

Una pigana siku mbili na kikundi cha wahuni kama Hamas unakata pumzi mpaka unaanza kuomba silaha kutoka Marekani alafu ujiweke mbele ya Iran si uta pakwa mafuta mchana kweupe?
Kitu ambacho kimeniacha hoi ni kama ulivyosema. Mimi nilidhani litaingia Gaza kupambana wao wanaangusha mabomu.

Kwa tafsiri nyengine Israel ikipambana na nchi yenye Air defensive System yenye ufanisi hata 70% Israel inatawanywa ndani ya muda mfupi.

Na tukumbukue Hamas wenyewe wanatumia roketi kushambulia.
 
Back
Top Bottom