LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Pumbavu! Natamani nikutukane matusi makubwa.
 
Hivi kwanini wahindi wanaonyesha chuki za wazi kwa palestina kunanini nyuma yake?
 
Ndiyo mnavyojidanganya siyo? Yaani Hezbollah amshinde Israel? Kwa lipi? Wote Hamas na Hezbullah mbinu yao ni moja, Human shield, hakuna cha maana walicho nacho. Acheni akili za kitoto hizo.
Kati ya malengo ya kuundwa kwake, Hezbollah amefanikisha kipi?
Maana wapo pale walipo na hawajawahi kuwasogeza Israel hata hatua moja nyuma.
Kila wakati Israel anaruka anatumia anga la Lebanon kwenda kupiga Syria huko akiua wataalam wa kijeshi wa Iran pamoja na proxies ambao hupitishia silaha zao Syria ili kuzipeleka kwa Hezbollah, mbona Hibullah wapo na hawajawahi kuinua pua wakati mizigo yao ya Silaha kutoka Iran ikiangamizwa?

Msipende kuongea vitu kwa ushabiki na ubishi wa kufundishana.
Chukua hako kamsafara kao ambako jana wametoka na hoyahoya kalitaka kuvuka mpaka kamezimishwa kote.

Your browser is not able to display this video.
 
Hamas tu mmeshaomba msada kutoka marekani, je muiran akiingia si mtaomba msada dunia nzima
 
BREAKING:

First Hezbollah member dies in an Israeli strike against Lebanese territory - Reuters
 
Safiii ISRAREL πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
 
Israel anacho taka kufanya hataki mtu ajue, Ni sawa na kumfunga paka kwenye Mfuko Alfu uanze kuponda ndo Israel anaenda kumfanyia hao Gaza unavamia mtu anayekutunza na kukupa Nguvu. Sasa ile nguvu ameikata No Umeme Giza likiingia wanatapa tapa tu Huku kipondo kikiendelea
 
Daah yaan huruma Ila wametaka wenyewe wakulipata amalitafuta acha wapelekewe motorcycle
 
K

Kazi kweli kweli kwa huo upumbavu waliofanya hao hamas ni jambo LA kushangiliwa kiasi kwamba unaandika kama jambo LA kishujaa kushambulia raia wasio na hatia ,if they are real brave why are they hiding their faces .Tukio walilo Fanya hamas ni lakulaaniwa na mtu yeyote mwenye ukathamini uhai wa binadamu maana wao ndio wamekuwa offensive kwa kuonesha hawataki. amani.
 
Israel ina kuzwa kuliko uhalisia yaani eti una kusanya jeshi la nchi nzima na wanajeshi wa akiba kwa ajili ya kupambana na kakikundi kadogo ka wapiganaji 10000 tena kenye silaha duni πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mtu hawezi kunishawishi tena kwa kusema Israel wananguvu Kubwa kijeshi wakati wamehenyeshwa na mgambo tu wa hamas.nauhakika Israel yeye kama yeye bila msaada akienda vita ya moja kwa moja na wairan wanakaa.
 
Adui atakavyo kuja ndo atakavyo pokelewa kwenye vita haitakiwi kudharau ukidharau utapigwa vibaya mno Kwaiy Israel anachofanya ni kujilinda pamoja na kuangamiza maana wao walikua kwa njia ya kuangamiza! Mbona wao walituma Mabom na Rocket nyingi na walikua wanalenga makazi ya watu Israel ikifanya inaonekana hawana utalaamu.

Subirieni hakuna kitakacho Baki hapo yanaendaje Kubaki Magofu sasa
 
β€” [emoji1134]/[emoji1146]/[emoji631] NEW: Israel urgently requests US intelligence assistance regarding developments in Southern Lebanon

@Middle_East_Spectator
 
Gaza hakuna ajira, raia wengi wa Gaza wanafanya kazi Israel, wanatibiwa Israel, mahitaji yao mengi wananunua Israel.
umeme, maji madawa, hata wakitaka kusafiri ni lazima wapote Israel.

Gaza ni kama Dar es salaaam ilivyozungukwa na Pwani pande zote na kwa ukubwa Manispaa ya Ilala ni kubwa kuliko Gaza na kimkao Gaza inatazama bahari huku imezungukwa na Israel pande zote. Jata wewe au mashirika yakitaka kwenda Gaza ni lazima upite Israel na Israel ndiyo watakuruhusu.
 
Daah yaan huruma Ila wametaka wenyewe wakulipata amalitafuta acha wapelekewe motorcycle
Hao jamaa hawajifunzi Mkuu ingia YouTube angalia Gaza kabla ya Vita Ilikua vizuri Mno huduma Bora Majengo mazuri, Mashule mazuri, Magorofa Mazuri lakin saiv kwenye Vita tu ya masaa ya 72 imeanza Kuwa Magofu.
Unavamia mtu unaye mtegemea Kila kitu means Kwamba anakujua kiundani zaidi maana ake anacho enda kukipata ni Siri ni ngum sana Media kujua maana saivi mitambo ya mawasiliano soon yanakatwa mtu aanze kupigwa kimya kimya.
 
Naona wameanza mpaka kupiga kambi ya wakimbizi iliyopo gaza na kuua watu wasio na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…