LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Cha kushangaza ni kuwa, raia wa Palestina wananufaika sana na Israel ikiwemo fursa za kazi na huduma bora za afya. Imagine kwa hapa Bongo ukihitaji top notch treatment mnachanga ndugu na jamaa na wananchi ili uende at least India, ila Wapalestina ni suala la kupata tu entry unapata world class service. Ni hawa HAMAS wanawaharibia raia na kuwajaza chuki za kijinga, otherwise ni neema kubwa sana kuwa jirani na Israel, maana by nature Israel hawavamii ila wanarespond kwenye uvamizi, ila response yao sasa utaona rangi zote.
Pumbavu! Natamani nikutukane matusi makubwa.
 
Hivi kwanini wahindi wanaonyesha chuki za wazi kwa palestina kunanini nyuma yake?
 
Israel haiwezi kupigana na Hizbullah na wao wanajua.

Hizbullah hawatumii tena roketi kama Hamas. Lile ni jeshi kamili. Na kama unakumbuka Israel aliivamia Lebanon na jeshi la nchi kushindwa kuilinda nchi ndipo Hizbullah wakaingia vitani. Israel alichezea kichapo! Alipigwa ndani ya Lebanon na nyumbani kwake.

Hamas ni kakikundi tu ambacho hakina ndege vita, ADS, kwa ufupi si jeshi kamili. Ukipima kwa haraka haraka utagundua Israel bado ni mwepesi. Haiwezi kikundi kidogo uite mpaka reserve ya wanajeshi 3,000,000. Unaomba na msaada wa silaha n.k

Na ukitaka kuangalia uoga wake ameshindwa kuingia ndani ya Gaza anachofanya ni kurusha tu mabomu. Angeingia Gaza kuwasaka kabisa kama Mrusi alivyofanya Ukraine. Ila hili hawezi kwa sababu nguvu ya Israel ni anga.
Ndiyo mnavyojidanganya siyo? Yaani Hezbollah amshinde Israel? Kwa lipi? Wote Hamas na Hezbullah mbinu yao ni moja, Human shield, hakuna cha maana walicho nacho. Acheni akili za kitoto hizo.
Kati ya malengo ya kuundwa kwake, Hezbollah amefanikisha kipi?
Maana wapo pale walipo na hawajawahi kuwasogeza Israel hata hatua moja nyuma.
Kila wakati Israel anaruka anatumia anga la Lebanon kwenda kupiga Syria huko akiua wataalam wa kijeshi wa Iran pamoja na proxies ambao hupitishia silaha zao Syria ili kuzipeleka kwa Hezbollah, mbona Hibullah wapo na hawajawahi kuinua pua wakati mizigo yao ya Silaha kutoka Iran ikiangamizwa?

Msipende kuongea vitu kwa ushabiki na ubishi wa kufundishana.
Chukua hako kamsafara kao ambako jana wametoka na hoyahoya kalitaka kuvuka mpaka kamezimishwa kote.

 
Clearly Iran wameisahau 6 Days War. Israel alipigana vita ya siku sita dhidi ya nchi 3 na akazishinda. Usicheze na lile taifa, hata Waziri Mkuu ameongea kwa kujiamini kabisa kwamba "tuko vitani na tutaishinda hii vita".

Halafu watu wanasahau kuwa Isreal sifa yao ni kufanikisha mission, siyo kurudi ukiwa hai, wanajeshi wamefundishwa kufa kwa ajili ya taifa lao, yet casualties kwao inakuwaga ndogo sana ukilinganisha na atakavyomchakaza adui. Tell you watawaua Palestina many times ya namba ya watu wao waliokufa, unaambiwa usiku wa leo hawajalala Gaza, likely Gaza will never be the same again, ever!
Hamas tu mmeshaomba msada kutoka marekani, je muiran akiingia si mtaomba msada dunia nzima
 
BREAKING:

First Hezbollah member dies in an Israeli strike against Lebanese territory - Reuters
 
Punde tu mawasiliano ya simu yanaenda kukatwa huko Gaza. Kwanza kwa kudhibiti mawasiliano katika ile strip, pili simu kuishiwa kuishiwa chaji, simu kupotea n.k


Naona kinachoenda kufuata kule ni part la kimyakimya.

Tutajitahidi tuwezavyo kutafuta vyanzo zaidi vya taarifa na videos kutoka platforms mbalimbali za mashariki ya kati.

Ingawa siku nne zijazo mitaa ya Gaza itatawaliwa na harufu kali za miili ya watu, maana vile vifusi vya majengo kwa sasa ni kama makaburi ya muda...hali si nzuri, inasikitisha sana.
Israel anacho taka kufanya hataki mtu ajue, Ni sawa na kumfunga paka kwenye Mfuko Alfu uanze kuponda ndo Israel anaenda kumfanyia hao Gaza unavamia mtu anayekutunza na kukupa Nguvu. Sasa ile nguvu ameikata No Umeme Giza likiingia wanatapa tapa tu Huku kipondo kikiendelea
 
Israel anacho taka kufanya hataki mtu ajue, Ni sawa na kumfunga paka kwenye Mfuko Alfu uanze kuponda ndo Israel anaenda kumfanyia hao Gaza unavamia mtu anayekutunza na kukupa Nguvu. Sasa ile nguvu ameikata No Umeme Giza likiingia wanatapa tapa tu Huku kipondo kikiendelea
Daah yaan huruma Ila wametaka wenyewe wakulipata amalitafuta acha wapelekewe motorcycle
 
K
Kuna vijana wajinga SANA, wao wanatanguliza mihemko ya imani zao kuliko utashi na weledi katika kujenga hoja.


Kitu kinachoitwa vita/baa la njaa sikia tu kwa jirani.

Kwenye vita huwa hakuna mshindi ila mnaamua kutumia meza ya duara kutafuta suluhu.

Mataifa ya Sudan, Rwanda, Msumbiji, Congo Dr, Ukraine, Israel, Palestina na West Africa, hali wanazopitia sio za kushabikia kijinga jinga hata sekunde moja.

Kijana pole sa warabu hawafich maiti zao wanaona sifa kuwa wamekufa kishujaa, sio waisrael wanablocked kila kitu hawatoi aibu zao ndio sababu safari hi Hamasi wameingia na na camera ili Warecord ingekuwa hawajarecord Israel wangesema wamekufa watu wawili tu 😂 kama kawaida yao.

Taifa teule wacha wasubiri Ujeruman pia awapeleke silaha kama uingereza, Faransa, Canada, Australia,Japan na labda tutasikia na India pia 😂

Hi safari wanajidai wa kweli lakini bado hawasemi ukweli wote, wanaficha kusema wa Israel wangapi wamekufa hata kuna badhi ya wandishi wamagazeti ya Israel wanasema Israel anaficha numbers za ukweli,wanachosema cha ukweli labda ni 15% yawalio kufa na kujehuriwa.

Tazama kipigo cha leo hi wanaume wanaingia camp za jeshi so hao mafala wanapiga majumba na vitoto vikicheza mpira haha


View: https://youtu.be/M6ZHLEUnLEY?si=eROQdk2VhsiXfbY5

Kazi kweli kweli kwa huo upumbavu waliofanya hao hamas ni jambo LA kushangiliwa kiasi kwamba unaandika kama jambo LA kishujaa kushambulia raia wasio na hatia ,if they are real brave why are they hiding their faces .Tukio walilo Fanya hamas ni lakulaaniwa na mtu yeyote mwenye ukathamini uhai wa binadamu maana wao ndio wamekuwa offensive kwa kuonesha hawataki. amani.
 
Kitu ambacho kimeniacha hoi ni kama ulivyosema. Mimi nilidhani litaingia Gaza kupambana wao wanaangusha mabomu.

Kwa tafsiri nyengine Israel ikipambana na nchi yenye Air defensive System yenye ufanisi hata 70% Israel inatawanywa ndani ya muda mfupi.

Na tukumbukue Hamas wenyewe wanatumia roketi kushambulia.
Israel ina kuzwa kuliko uhalisia yaani eti una kusanya jeshi la nchi nzima na wanajeshi wa akiba kwa ajili ya kupambana na kakikundi kadogo ka wapiganaji 10000 tena kenye silaha duni 😃😃😃😃😃😃
 
Mtu hawezi kunishawishi tena kwa kusema Israel wananguvu Kubwa kijeshi wakati wamehenyeshwa na mgambo tu wa hamas.nauhakika Israel yeye kama yeye bila msaada akienda vita ya moja kwa moja na wairan wanakaa.
 
Kitu ambacho kimeniacha hoi ni kama ulivyosema. Mimi nilidhani litaingia Gaza kupambana wao wanaangusha mabomu.

Kwa tafsiri nyengine Israel ikipambana na nchi yenye Air defensive System yenye ufanisi hata 70% Israel inatawanywa ndani ya muda mfupi.

Na tukumbukue Hamas wenyewe wanatumia roketi kushambulia.
Adui atakavyo kuja ndo atakavyo pokelewa kwenye vita haitakiwi kudharau ukidharau utapigwa vibaya mno Kwaiy Israel anachofanya ni kujilinda pamoja na kuangamiza maana wao walikua kwa njia ya kuangamiza! Mbona wao walituma Mabom na Rocket nyingi na walikua wanalenga makazi ya watu Israel ikifanya inaonekana hawana utalaamu.

Subirieni hakuna kitakacho Baki hapo yanaendaje Kubaki Magofu sasa
 
— [emoji1134]/[emoji1146]/[emoji631] NEW: Israel urgently requests US intelligence assistance regarding developments in Southern Lebanon

@Middle_East_Spectator
 
Israel anacho taka kufanya hataki mtu ajue, Ni sawa na kumfunga paka kwenye Mfuko Alfu uanze kuponda ndo Israel anaenda kumfanyia hao Gaza unavamia mtu anayekutunza na kukupa Nguvu. Sasa ile nguvu ameikata No Umeme Giza likiingia wanatapa tapa tu Huku kipondo kikiendelea
Gaza hakuna ajira, raia wengi wa Gaza wanafanya kazi Israel, wanatibiwa Israel, mahitaji yao mengi wananunua Israel.
umeme, maji madawa, hata wakitaka kusafiri ni lazima wapote Israel.

Gaza ni kama Dar es salaaam ilivyozungukwa na Pwani pande zote na kwa ukubwa Manispaa ya Ilala ni kubwa kuliko Gaza na kimkao Gaza inatazama bahari huku imezungukwa na Israel pande zote. Jata wewe au mashirika yakitaka kwenda Gaza ni lazima upite Israel na Israel ndiyo watakuruhusu.
 
Daah yaan huruma Ila wametaka wenyewe wakulipata amalitafuta acha wapelekewe motorcycle
Hao jamaa hawajifunzi Mkuu ingia YouTube angalia Gaza kabla ya Vita Ilikua vizuri Mno huduma Bora Majengo mazuri, Mashule mazuri, Magorofa Mazuri lakin saiv kwenye Vita tu ya masaa ya 72 imeanza Kuwa Magofu.
Unavamia mtu unaye mtegemea Kila kitu means Kwamba anakujua kiundani zaidi maana ake anacho enda kukipata ni Siri ni ngum sana Media kujua maana saivi mitambo ya mawasiliano soon yanakatwa mtu aanze kupigwa kimya kimya.
 
Naona wameanza mpaka kupiga kambi ya wakimbizi iliyopo gaza na kuua watu wasio na hatia.
 
Back
Top Bottom