LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Aliuliwa Ahmad Yassin yule kiongozi wao kipofu na Hamas ikaendelea atakua huyo Ismael Haniya ndg
Israel hawafanyi kazi kwa nguvu pekee, akili haziachani na nguvu zao.

Huwezi ona Israel inapendelea Bashar al Assad aondoke, labda ijue Syria itafeli zaidi ya sasa endapo atakuja Rais mwingine pale Syria.
Sheikh Ahmad aliuwawa sababu alikuwa mwiba, huyu Haniyeh na Ahmad nani alikuwa mkorofi zaidi?

Israel ilifurahia mapinduzi ya Rais Mohamed Morsi pale Egypt, sababu yeye ni Muslim Brotherhood kundi korofi kwa Israel badala yake kaja General El-Sisi hana shida na Israel.

Wala Israel haipendi Rais wa mamlaka ya Palestina, Mahmoud Abbas aondoke. Wewe uliwahi ona Abbas anafanya nini la maana? Unaweza mlinganisha Abbas na mtangulizi wake Yasser Arafat? Na kwanini kifo cha Arafat kina utata hadi leo.
 
IDF Commandos tayari kwa OPERATION IRON SWORD. Wanasema saa chache zijazo hakutakuwa na kimelea cha gaidi kwenye ardhi yao.
 
Sijui hicho kitu unachokiongelea. Israel kama kweli ni vidume wafanye shambulio ndani ya iran kama walivyofanya hamasi leo au alivyoingia urus nchini Ukraine alafu uone majibi ya iran yatakuwaje? wali
Iran hawana Ishu mkuu. Israel akifanya vita hapigi hovyo anapigq sehemu za maamuzi, kama ni mtu unamvuja uti wa mgongo.
 
Isreal imewahi kuua Wataharamu wa atomic na nuclear wa Iran.
Pia wamewahi attack kinu cha nuclear ndani ya iran kwa kutumia drone .
Iran mbona hawakufanya chochote wakabaki kulahani
 
Iran hawana Ishu mkuu. Israel akifanya vita hapigi hovyo anapigq sehemu za maamuzi, kama ni mtu unamvuja uti wa mgongo.
Israel alishapigana vita na nani kama sio hamasi na izibolla vikundi vya kimgambo tu. Kama yeye ni kidume aanzishe vita na nchi inayojielewa aone cha moto
 
Hii vita ni mbaya sana zaidi ya Waisrael 100 wameshakufa!! Waisrael zaidi ya 1000+ wamejeruhiwa vibaya

Wanajeshi zaidi 75 wapo kizuizini mateka kwa wapalestina ikiwemo makamanda wa juu ya Israel

Haijawahi kutokea Waisrael wakafa kwa mamia hivi ndani ya masaa machache tu hii vita kama itaendelea tutarajie kuona mamia na maelfu ya Waisrael wakiangamizwa!!
1696688410858.jpg
1696682338137.jpg
1696683812949.jpg
 
Hesbula wanaonekana milimani kwenye bodaboda wakijandaa kuishambulia israel. Inaonekana hii ngoma bado mbichi.
 
Kuna General mmoja wa Iran alipendwa sana alikuwa anamsaidia kiongozi wa Syria aliuwawa na drone na USA tena walishirikiana na Israel.

Watu wakasema wamefanya kosa kubwa sana, Iran watalipiza kisasi maneno mengi.
Hakuna kitu mpk leo.
 
Israel alishapigana vita na nani kama sio hamasi na izibolla vikundi vya kimgambo tu. Kama yeye ni kidume aanzishe vita na nchi inayojielewa aone cha moto
Sina uhakika waarabu wataingia vita hapo kwao.

Maana nchi za ulaya wanavyotamani mali za waarabu wawe makini.
Marekani na Ulaya wanatamani sana mafuta na gesi za Iran.
Mzozo wa marekani kwa pamoja na ulaya wanagombana na Iran ni rasilimali wanazitamani sasa aingie vita hapo.
Afu kingine Iran mpk Israel ni mbali sana. Kufika kule labda waingilie Syria. Ila sio Saudi Arabia maana Saudi Arabia hawapati ni paka na panya.
 
Back
Top Bottom