LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
”Swords of Iron”

IDF: A short while ago, the IDF struck ten Hamas terrorist organization targets; the targets were located in multi-story buildings used by the Hamas terrorist organization in the Gaza Strip

Overnight, the IDF struck operational infrastructures belonging to the Hamas terrorist organization in the Gaza Strip used for carrying out terror from the Gaza Strip against Israeli civilians. Among them, the intelligence headquarters belonging to the Hamas terrorist organization and a military compound used by the Hamas terrorist organization’s aerial forces were struck.

In parallel, the IDF struck two banks belonging to the Hamas terrorist organization for terror funds, among them the Islamic National Bank which serves the organization by financing terrorist activity, and the First Bank belonging to the organization. In addition, the IDF struck an aerial weapons production site used by the aerial forces belonging to the Islamic Jihad terrorist organization in the city of Gaza, and a building including offices and storage units where the terrorist organization stores weapons and military equipment.
 
Hawana ardhi hao, waitowe wapi? Hao ni wahamahamaji kama wamasai.
Kama umeshindwa kuthamini wamaasai ulionao jirani tena ndani ya nchi moja, na kuamua kuwalinganisha na Israeli kwamba hawana ardhi ni wahamahamaji tu basi nyie ndio wale waislam wapumbavu wanaofikiri kwamba mna uwezo wa kuondoa Israeli pale walipo.

Waislam shida hipo sehemu, acheni kuwaumiza na kuwaua ndugu zetu wapendwa wapalestine kwa kuwadanganya na silaha, sasa leo nendeni katika umoja wenu mkawasaidie si ndio mliwadanganya nyie wajinga.

Wanaokufa na kuutahabika pale ni wapalestine sio wairan, saudia, nk. Saizi wote mko nyuma ya keyboard zenu, ila watu wa Gaza wamezingirwa mda huu, na hii ni baada ya kudanganywa na ndugu zao jamani.
 
Mimi ni mkristo lakini naona Israel ni taifa la kishetani,taifa la kigaidi kwa sababu ya kuwatesa wapalestina.wapalestina wameamua kukataa unyanyasaji wa waisraeli.mtu mwenye akili timamu hawezi kusapoti Israel.Alafu Israel bila msaada wa NATO ni wakavu tu.they are overrated.
Huwa sielewi ukristo na uislam kwenye mjadala huu huwa unatoka wapi
 
"Tutageuza maeneo yote ya kujificha magaidi kuwa vifurushi", asema Benjamin Netanyahu
kwa dhulma zao Mwenyezi Mungu ni muweza wa kuwapindulia mipango yao yote na matumani ya kushinda ikawa ni kushindwa.Kwa akili zetu hatuwezi kuona wapi wataangukia katika mipango yao.
 
kwa dhulma zao Mwenyezi Mungu ni muweza wa kuwapindulia mipango yao yote na matumani ya kushinda ikawa ni kushindwa.Kwa akili zetu hatuwezi kuona wapi wataangukia katika mipango yao.
Acha kutia tia huruma.

Kwani wao hawana Mungu?

Bana makalio, kichapo mtakachokipata hata kuinua makalio juu na kujamba mtashindwa.
 
Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Israel.
Nani anayeongelea habari za uwepo wa nchi? Hao waliounda hiyo nchi waliishi wapi? Wakati Palestine akiwa ndiye mtawala pale unadhani hapakuwepo Wayahudi?
Wayahudi walikuwepo pale na walikua wakiendesha mapambano ya kudai ardhi yao kama wanavyofanya wapalestina hivi sasa. Wayahudi walikuwepo na walikuwa wametengewa maeneo ya hovyo wakiishi kama wakimbizi huku wakitakiwa kutosogea maeneo mengine ya nchi.
Hata style ya kujilipua kwa mabomu ilianzishwa na Wayahudi wenyewe miaka hiyo, wakijilipua ili kuua wapalestina.
 
Siamini kuwa Israel wanaweza kujisahau na kuruhusu mashambulio ya namna hiyo, huu ni mpango wa Ashkenazi, kina netanyahu na Mossad yao.
Hata mimi ninamashaka makubwa.
Maana hata mwitikio wa kuwaondoa wavamizi umekuwa wa kinyonge sana sio Israel tunayoifahamu. Hadi wanajeshi wenyewe wamepigana risasi.

Inaweza kuwa NATO pia wamefeli vita Ukraine, wanataka kuhamisha attention ili dunia media zituondoe Ukraine, tuhamie gaza.
 
Screenshot_20231008-072750_Instagram.jpg
Screenshot_20231008-072808_Instagram.jpg
Screenshot_20231008-072014_Instagram.jpg
Screenshot_20231008-071920_Instagram.jpg


Safi sana Ndugu zetu wapalestina, Ndugu zangu waislamu popote mlipo tuendelee kuwaombea hawa ndugu zetu Wapalestina, na waislamu wote kwa ujumla.
 

Attachments

  • Screenshot_20231008-072834_Instagram.jpg
    Screenshot_20231008-072834_Instagram.jpg
    42.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20231008-072909_Instagram.jpg
    Screenshot_20231008-072909_Instagram.jpg
    57 KB · Views: 2
Mleta mada, acha ushabiki, lete habari ya ukweli, mpaka sasa Waisraeli 290 wamekufa na kujeruhiwa 1500
 
Labda huijui Historia ya Israel na Ardhi hiyo.

Kabla ya vita ya pili ya Dunia, Hakukuwepi na wadudu wanaoitwa wapalestina.

Vita ya Pili ya Dunia, ambayo Hitler na wapuuzi wa Catholics Kwa lengo la kuwaondoa Waisrael, walifanikiwa kuwaondoa Waisrael wote katika Ardhi Yao , wakakimbikia mataifa mbalimbali.


Kuondoka kwao pale kwenye Ardhi Yao, kukatoa nafasi ya Jesuits wa Rumi, kupeleka wahamiaji kwenye Ardhi hiyo...wahamiaji hao ndo Leo wanaitwa wapalestina.



Baada ya Vita ya Pili, Waisrael wakajikisanya ili waanze kurudi kwenye Mother land Yao.

Ndipo walipokuta Kuna wahamiaji , na Vita ikaanzia hapo.


Mpaka Leo !!!!
Hapa unaiongelea Israeli ipi ? Katika watu ambao mko mbali na Historia ni nyinyi si kwa kuandika Wala katika kuisoma.

Kwanza hakuna Waisraili asilia Leo hii katika huu mgongo wa ardhi, kuna Mayahudi lakini ambao Wana laana ya Musa, na wao wao Wana tanga tanga katika ardhi dunia hii kutokana na laana.

Hao wanao itwa Waisraili Leo hii ndio wavamizi na hawana nasaba Wala chochote na Waisraili wa asili. Sasa ni mjinga pekee wa Israeli ambaye atasema hao ni asili yao hapo.
 
Wamaasai hawana ardhi Tanzania, kichwa chako hakipo sawa wewe, alafu wapalestina ndio wana ardhi endelea kula nguruwe unaleta habari zenu za CCM kwenye maisha ya watu

Mpaka sasa hao ndugu zako wameshakufa 290 na kujeruhiwa 1500, na bado.
 
Kwa kweli ni tukio ambalo limeacha maswali mengi juu ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Israel!
Israel ambayo kwenye maswala ya Inteligensia ni moja ya nchi bora duniani,imeshangaza dunia kuvamiwa kirahisi namna hiyo!
Magaidi wa Kipalestina wamepenyaje mpaka kuingia ndani ya Israel na kuanzisha mashambulizi?
Kumuzuia mtu anawaza kufanya au wanacho panga kufanya ni ngumu sana angalia Pakistan ambayo tunaaminishwa ina ujasusi mzuri lakini inavoteswa na ugaidi naamani hata marekani anaweza pigika vizuri tu kwa shambulio la kushtukiza kama la Israel shida tunapewa hofu tu kuwa marekani wapo vizuri kwenye ujasusi
 
Back
Top Bottom