Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
"Tutageuza maeneo yote ya kujificha magaidi kuwa vifurushi", asema Benjamin Netanyahu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umeshindwa kuthamini wamaasai ulionao jirani tena ndani ya nchi moja, na kuamua kuwalinganisha na Israeli kwamba hawana ardhi ni wahamahamaji tu basi nyie ndio wale waislam wapumbavu wanaofikiri kwamba mna uwezo wa kuondoa Israeli pale walipo.Hawana ardhi hao, waitowe wapi? Hao ni wahamahamaji kama wamasai.
Huwa sielewi ukristo na uislam kwenye mjadala huu huwa unatoka wapiMimi ni mkristo lakini naona Israel ni taifa la kishetani,taifa la kigaidi kwa sababu ya kuwatesa wapalestina.wapalestina wameamua kukataa unyanyasaji wa waisraeli.mtu mwenye akili timamu hawezi kusapoti Israel.Alafu Israel bila msaada wa NATO ni wakavu tu.they are overrated.
kwa dhulma zao Mwenyezi Mungu ni muweza wa kuwapindulia mipango yao yote na matumani ya kushinda ikawa ni kushindwa.Kwa akili zetu hatuwezi kuona wapi wataangukia katika mipango yao."Tutageuza maeneo yote ya kujificha magaidi kuwa vifurushi", asema Benjamin Netanyahu
Acha kutia tia huruma.kwa dhulma zao Mwenyezi Mungu ni muweza wa kuwapindulia mipango yao yote na matumani ya kushinda ikawa ni kushindwa.Kwa akili zetu hatuwezi kuona wapi wataangukia katika mipango yao.
Nani anayeongelea habari za uwepo wa nchi? Hao waliounda hiyo nchi waliishi wapi? Wakati Palestine akiwa ndiye mtawala pale unadhani hapakuwepo Wayahudi?Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Israel.
Amekujibu?Wameuliwa Waisrael mia ngapi?
Hata mimi ninamashaka makubwa.Siamini kuwa Israel wanaweza kujisahau na kuruhusu mashambulio ya namna hiyo, huu ni mpango wa Ashkenazi, kina netanyahu na Mossad yao.
Wamaasai hawana ardhi Tanzania, kichwa chako hakipo sawa wewe, alafu wapalestina ndio wana ardhi endelea kula nguruwe unaleta habari zenu za CCM kwenye maisha ya watuHawana ardhi hao, waitowe wapi? Hao ni wahamahamaji kama wamasai.
Wamefika 300+
Hapa unaiongelea Israeli ipi ? Katika watu ambao mko mbali na Historia ni nyinyi si kwa kuandika Wala katika kuisoma.Labda huijui Historia ya Israel na Ardhi hiyo.
Kabla ya vita ya pili ya Dunia, Hakukuwepi na wadudu wanaoitwa wapalestina.
Vita ya Pili ya Dunia, ambayo Hitler na wapuuzi wa Catholics Kwa lengo la kuwaondoa Waisrael, walifanikiwa kuwaondoa Waisrael wote katika Ardhi Yao , wakakimbikia mataifa mbalimbali.
Kuondoka kwao pale kwenye Ardhi Yao, kukatoa nafasi ya Jesuits wa Rumi, kupeleka wahamiaji kwenye Ardhi hiyo...wahamiaji hao ndo Leo wanaitwa wapalestina.
Baada ya Vita ya Pili, Waisrael wakajikisanya ili waanze kurudi kwenye Mother land Yao.
Ndipo walipokuta Kuna wahamiaji , na Vita ikaanzia hapo.
Mpaka Leo !!!!
Wamaasai hawana ardhi Tanzania, kichwa chako hakipo sawa wewe, alafu wapalestina ndio wana ardhi endelea kula nguruwe unaleta habari zenu za CCM kwenye maisha ya watu
Wamefika 300+
Kumuzuia mtu anawaza kufanya au wanacho panga kufanya ni ngumu sana angalia Pakistan ambayo tunaaminishwa ina ujasusi mzuri lakini inavoteswa na ugaidi naamani hata marekani anaweza pigika vizuri tu kwa shambulio la kushtukiza kama la Israel shida tunapewa hofu tu kuwa marekani wapo vizuri kwenye ujasusiKwa kweli ni tukio ambalo limeacha maswali mengi juu ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Israel!
Israel ambayo kwenye maswala ya Inteligensia ni moja ya nchi bora duniani,imeshangaza dunia kuvamiwa kirahisi namna hiyo!
Magaidi wa Kipalestina wamepenyaje mpaka kuingia ndani ya Israel na kuanzisha mashambulizi?