LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
😂 kijana poleni Muingereza na Mmarekani wote wanakimbilia kupeleka silaha walizo baki nazo, huyu Mhindi sasa anawaingiza waingereza kwenye balaa.

Badaye tutsakia Australia, Ufaransa, Canada na Japan wanapeleka silaha pia.

Nchi gani inajidai ina nguvu kumbe inategemea mataifa mengine, lakini Hamasi hawamuwezi wacha wakamsaidie huyo shoga lakini hashing vita.

Nilisha sema hapa zamani Israel hajawahi pigana vita bila kusaidiwa karibu tutakamata macommandor wa US na Uingereza wametekwa.

Hao vita vyao ni kwa ndege tu hawawezi vita vya chini Hamasi piga hao mashoga
this time middle east countries wameamua kuikomboa palestina,, trust me marekani kumuua GEneral Suleiman was a wrong move,, wanajua wanahali tete,, tena dola inaenda kufa rasmi.
 
Israel na US wanalazumisha WWIII kama ilivyotaviriwa na Notradame kuwa itaanzia mashariki ya kati 2025. Huyu alitabiri pia WWI na II exactly Miaka Zaidi ya 400 iliyopita. Baada ya kufurumushwa na Russia kwenye mgogoro WA Syria bado hawajaridhika.
Yaani Hamas na Israel wasababishe WW111 hivyo vichekesho. Labda uniambie America na China au Russia... sio hivyo vinchi masikini
 
this time middle east countries wameamua kuikomboa palestina,, trust me marekani kumuua GEneral Suleiman was a wrong move,, wanajua wanahali tete,, tena dola inaenda kufa rasmi.
Labda useme Iran na Hamas.

Iran amekalia.kuti kavu. Ngoja waimalize Gaza alafu Hamas alafu atafuata Iran.
 
Hivi mnashinda kwa raha gani watz??Hivi mna habari kuwa mkuu wa kikosi cha jeshi la Israel cha kupambana na ugaidi ambaye amehusika na mauaji ya viongozi wengi wa Hamas na Palestina amekwishadakwa na Hamas?

Kupatwa kwa taifa teule! Huyu sijui watamfanya nini nashindwa kuimagine

BREAKING: Absolutely massive news out of Gaza!!!!!!!!!! Saraya al-Qassam has just captured Commander Shekhov Soram of the elite 'Israeli' counterterrorism unit, YAMAM! [https://abs-0] [https://abs-0] Who is Commander Soram, you ask?!?!?!?!? This HAT-RAT [https://abs-0] [https://abs-0] is one of the killers of none other than Lions' Den [https://abs-0] founder Ibrahim al-Nabulsi (R.A.), who was murdered by multiple IOF battalions on August 9th, 2022!View attachment 2776830
Atobolewe macho yote
 
this time middle east countries wameamua kuikomboa palestina,, trust me marekani kumuua GEneral Suleiman was a wrong move,, wanajua wanahali tete,, tena dola inaenda kufa rasmi.
Kinachoendelea kule ndiyo unaita ukombozi? Nyie watu sijui huwa mnatumia akili za aina gani? Mnashindwa hata kuwa na huruma juu ya kinachoendelea?
Tega sikio, usikie kinachoenda kutokea kule ndani ya masaa 48 hadi 72 kuanzia sasa
 
Dah napaangalia Gaza kabla ya mabomu...pako vizuri..
Hawa wakazi wa Gaza ukiwaleta TZ tena DSM...mwezi mmoja tu..wakirudi wanawaheshimu Israel
-misikiti ya maana
-shule za maana
-Hospitali
-Umeme upo
- Maji
Tupo nyuma sana aisee
 
Ujue kuna watu vichwani sijui kuna nn nadhani ubongo hawana yaani analaumu hamas anataka wangetulia tu ile israel kila siku anaingia gaza kushambuli jamaa wanalipiza analaumu maamuzi ya kijinga
viumbe wasio na akili hao,,,na vyombo vyao havitangazi hayo mambo
Labda useme Iran na Hamas.

Iran amekalia.kuti kavu. Ngoja waimalize Gaza alafu Hamas alafu atafuata Iran.
Mungu akupe uhai uione Iran,, mnasoma magazeti tu haujawahi hata kufika Iran. Nenda ukaone,, waliishia Iraq ambayo ni sawa na Uganda au Kenya kwa Tanzania lakini waliondoka.Safirini muone hizo nchi sio mnakalia kuijua ulaya na amerika.
 
Kwamba Israel iliunda silaha za nyuklia kufanyia gwaride? Kuzionyesha tu hawajawahi.

Iran ilidai Israel ikiingia Gaza itavamia. Ground offensive ya Gaza inakadiriwa itaanza soon nasubiri kuona mbabe Iran ikivamia Israel
Leta ushahidi wa hayo unayo sema na sio kubwabwaja.

Unajaribu sana kuipamba na kuikuza Israel lakini uhalisia wake unakuumbua lakini ww bado tu ume kaza fuvu.

Ulianza unasifia ufanisi wa Mosad lakini leo hii Israel ina pigwa ambush ya kipumbavu na kizembe kabisa iliyo leta maafa ambayo sidhani kama hata tz inaweza kupigwa ambush ya kipuuzi namna hiyo.

Mara jeshi la Israel ni bora lakini zaidi ya wanajeshi 5000,wa Israel wame tumia zaidi ya siku tatu kupambana na wanamgambo wasio zidi mia mbili wenye silaha duni walio kuwa wameteka maeneo huko kusini mwa Israel.
Jeshi bora badala liingie kwenye medani lipambane, lenyewe limekomalia kupiga majengo kutoka angani kwani majengo sasa hivi huwa yana pigana?
Eti he bora lime kusanya zaidi ya wanajeshi laki 3 kwenda kupambana na kundi lenye wapiganaji wasio zidi 10,000 hiki ni kichekesho kikuu😀😀😀😀😀😀😀.
Eti leo hii jeshi bora limekuwa la kutegemea kutumia njaa kama silaha ili kumdhohofisha adui.

Una pigana siku mbili na kikundi cha wahuni kama Hamas unakata pumzi mpaka unaanza kuomba silaha kutoka Marekani alafu ujiweke mbele ya Iran si uta pakwa mafuta mchana kweupe?
 
Kinachoendelea kule ndiyo unaita ukombozi? Nyie watu sijui huwa mnatumiabakili za aina gani? Mnashindwa hata kuwa na huruma juu ya kunachoendelea?
Tega sikio usikie kinachoendea kutokea kule ndani ya masaa 48 hadi 72 kuanzia sasa
Kila.baada ya dakika kadhaa majengo yanashushwa uko Gaza.

Baada ya masaa 72 sijui hali ya Gaza itakuwaje
 
viumbe wasio na akili hao,,,na vyombo vyao havitangazi hayo mambo

Mungu akupe uhai uione Iran,, mnasoma magazeti tu haujawahi hata kufika Iran. Nenda ukaone,, waliishia Iraq ambayo ni sawa na Uganda au Kenya kwa Tanzania lakini waliondoka.Safirini muone hizo nchi sio mnakalia kuijua ulaya na amerika.
Unajidanganya kwa kutumia akili za kusimiliwa
 
UN,wako wapi? Hizi ndiyo kazi zao,Sasa wako wapi au Kwa kuwa Israel ni mshirika wao.
Papa Yuko wapi mbona Yuko kimya, viongozi wakubwa wako wapi duniani kusulihisha hili jambo.
Nchi za G8 ziko wapi mbona ziko kimya au Israel na Palestine migogoro Yao hawa wasuluhishi hawaruhusiwi kuingilia na kutatua?
Hakuna suluhu juu magaidi. Hamas wanastahili kuwajibishwa kwa walichokifanya
 
death toll is comon for palestinians,, this time wamestrike kila mshirika waswahiba wake kwenye music festival. This was tactically planned, Hujiulizi hata usalama wa israel hawakujua chochote,, ni decades sasa,, we are almost there mastermind Iran kashatoa green go for al aqsa storm. twendeni vitani acha kuongea ongea.
Endelea kung'ata mto
 
Sasa mkuu hata nikueleze kwa kihebrania chenyewe umeshasema unachukulia ni kama vitabu vya kina shaaban robert unataka nikwambie nini tena? ilhali hiyo Qur'an ni uteremsho kutoka kwa mola wa walimwengu wote, na imeeleza habari za tangu kabla ya baba wa wanadamu ambaye ni aadam amani iwe juu yake, sembuse habari za wajukuu wa ibraahim wa hapa majuzi?.

Pili sikukwambia wewe ndo uwaulize hujanisoma tu vizuri, anyway tusiharibu uzi tuendelee kupeana updates.
Shida sio lugha utakayochagua, hata ukielezea kisukuma ni sawa ...shida ni hizo reference utakazotumia na uhakika wake kihistoria.
Uwanja ni wako.


Wewe unaamini Quran imeshushwa kutoka kwa Mungu, ni sawa sikupingi...lakini unaona hiyo ndo inatosha kujustify hivi vita watu kuuana?

Yani Mfano leo mwamposa awaambie waumini wake kuwa Kenya ni mali Yao ya toka enzi halafu wakaivamia kwa reference ya mwamposa itakuwa sawa?
 
Back
Top Bottom