LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Akati unasema hivyo jana imeripotiwa kuwa IDF walijaribu kufanya ground offense ndani ya Gaza kupitia Khan Younis ila alqassam brigade iliwachapa ikaua nwanajeshi mmoja na kujeruhi watatu jeshi likasitisha uvamizi likisema Hamas Wana nguvu ya kujibu mashambulizi wanahitaji muda zaidi kujipanga.
Kwa akili Yako unahisi majasusi wa Israel hawajaingia Gaza sio?
 
You are just meandering, Give the evidence!
Evidence number one, you can never disprove the existence of God.
God has failed to prove me wrong that, He doesn't exist..
The very fact that you're still alive is the best proof that He does exist. What further evidence do you want? What more did you expect Him to do?
God has failed to show his existence and powerfulness that he exists.
Again, look around you. Everything that you see proves He's a great God. How much more powerful do you want Him to be before you can believe He exists?
Though you always say your God is powerful.
Absolutely. He holds the universe together. Flowers blossom and bloom by His command. He upholds our existence. He can snap His fingers and you're gone! That's an incredible power. Don't you think so?
Man created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
Men perceive God through revelations. When one sees dark clouds gathering in the sky, they know for sure that il va bientôt pleuvoir. This is one way I know He exists.
So you mean that God is the one who make people's deaths?
Yes. He alone has power to keep you alive; He reserves the power to take away your breath.
Being alive today or tomorrow doesn't mean that it's because of God.
But rather because of who/what?
 
Evidence number one, you can never disprove the existence of God.

The very fact that you're still alive is the best proof that He does exist. What further evidence do you want? What more did you expect Him to do?

Again, look around you. Everything that you see proves He's a great God. How much more powerful do you want Him to be before you can believe He exists?

Absolutely. He holds the universe together. Flowers blossom and bloom by His command. He upholds our existence. He can snap His fingers and you're gone! That's an incredible power. Don't you think so?

Men perceive God through revelations. When one sees dark clouds gathering in the sky, they know il va bientôt pleuvoir. This is one way I know He exists.

Yes. He alone has power to keep you alive; He reserves the power to take away your breath.

But rather because of who/what?
None

It's not a must to be someone.

Why are you creating your own perspective, then you are forcing the earth must be created by someone?

Then, who created the creator?
 
Hata kama wanaokufa sio wenye hatia lakini ni ndugu wa magaidi, kwani wewe ukimtafuta gaidi ukamkosa si lazima utaenda kwa familia yake.....labda Vita iishe lakini kama haitoisha, Israel inahaki ya kuwauwa raia wa pelestina, kwanza hili kundi la hamas limeundwa na wapalestina wenyewe.....acha wapelekewe Moto tu
Unasikitisha sana pia hata maana ya gaidi huijui.
Ukifuatilia maana halisi ya ugaidi gaidi ni Israel na USA.
 
Bado hujakua na kuelewa dunia inaendeshwa na unafki kwa kiwango gani.

October 7 Baada ya October shambulizi la Wapalestina kwa Waisrael lililosababisha maafa ya Waisrael 1300, Wapalestina walijirekodi kwenye gari la kivita likiwa linaendeshwa wakiwa wamemvua nguo Ke Mwanajeshi wa Israel na kumlaza kifudifudi wakiwa na silaha za kivita na kunena kwa msisitizo "Allah Akbar".



Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Unafiki upi?
 
Hii vita imejaaa udini, kwann mpaka sasa hakuna nchi au taifa la kiislaamu linaloliunga mkono Israel?
 
Eti kuna Kizee miaka 90 cha Isreal kimeachiwa huru na waislam wa Hamas kimesema kimeteswa sana.
Cha ajabu hana kovu, hana hata mchubukoo. Anaongea kwa furaha huku akitasamu ktk vyombo vya habari
Mtu wa miaka 80 uteswe halafu usife? Usizimie kwa presha
Kweli ukiamini ya Mussa utayakuta ya Farau.
Bbc swahili hioooooo
 
Ukitizama historia utabaini mizozo yote mikubwa iliyowahi kutokea duniani ilianza kimasihara sihara.

Sote tu mashahidi wa yanayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Hamas na Israel.

Hata mitandaoni, kumeuibuka malumbano makubwa ambapo kuna kundi linasapoti upande wa Palestina na jingine upande Israel. Hali inayopelekea mnyukano mkali baina ya makundi haya katika mitandao ya kijamii dunia nzima

Lakini pia kuna kundi dogo sana ambalo lenyewe linataka mauaji yasitishwe. Amani itamalaki Gaza.

Sasa ukiangalia kwa umakini mkubwa, kundi linalosapoti upande wa Israel ndio kundi lenye washabiki wengi zaidi. Wao wanafurahi jinsi Israel inavyoichakaza Gaza. Jinsi Israel ikua watu wasio na hatia kwa kisingizio cha kupambana na Hamas.Muda huu wanatamani wasikie IDF imeiangamiza Hamas na kuingia Gaza.

Lakini ninauhakika wa asilimia 99 kuwa siku chache zijazo hawa mashabiki wa Israel kama sio kufuta maoni yao mitandaoni, basi watabadili misimamo yao na kuacha kuishabikia Israel kwani the moment Israel itakapoingiza jeshi lale Gaza, ukurasa mpya utakuwa umefungulia katika mgogoro huu.

JINSI MGOGORO UNAVYOZIDI KUKUA

Endapo Israel ataingia Gaza, Iran ataivamia Israel kama alivyoahidi ,nae Marekani ataingia kumsaidia Israel.

Nae Urusi hatoweza kukaa kimya kuona swahiba wake Iran akikabiliana na marekani. Not to mention washirika wa Marekani na NATO kwa ujumla nao wataingia pamoja na mataifa mengine and before you know it, it's World War 3.

Wakati haya yakitukia, hakuna atakayebaki salama.Sio wanaoshabikia Israel au wa Palestina.
 
Hamna cha vita ya tatu wala nn ila hii vita itadumu milele,the worst is yet to come
 
Hilo halina uhakika.
Ila IDF spokesman amesema Kuna kufeli kwa intelijensia kiasi taarifa hazijitoshelezi ku carry out operation.
Hiyo operation wanaoichelewesha ni US la sivyo IDF zamani tu angeshaingia Gaza.
 
Ukitizama historia utabaini mizozo yote mikubwa iliyowahi kutokea duniani ilianza kimasihara sihara.

Sote tu mashahidi wa yanayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Hamas na Israel...
Lazima wote wakubali kupoteza kidogo two state solution huku wakigawana jerusalem ili wote wakae kwa amani
 
Haijalishi unaunga mkono upande gani kwenye hii vita, hakuna upande ulio sahihi. Kila mmoja amechagua upande wake kuendana na maslahi yake binafsi!
 
Lazima wote wakubali kupoteza kidogo two state solution huku wakigawana jerusalem ili wote wakae kwa amani
Tiyari wameshapoteza sana. Ni muda muafaka sasa watafute suluhu ya kudumu kama hiyo uliyosema ya two states solutions.
 
Tiyari wameshapoteza sana. Ni muda muafaka sasa watafute suluhu ya kudumu kama hiyo uliyosema ya two states solutions.
Tatizo right wing jews hawataki wanataka yote walithubutu kumuua hadi waziri mkuu wao rabin kisa tu alisaini ile oslo accord ambayo ingefuatwa ingeleta amani ya kudumu, hao tu ndio tatizo ndio maana bila ya hawa right wing jews , hata hamas wasingekuwepo na wote tungesema kweli ni magaidi, ila bila ya resistance ya hamas sasahivi palestine yote ingekuwa nchi ya israel
 
Back
Top Bottom