Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kwa akili Yako unahisi majasusi wa Israel hawajaingia Gaza sio?Akati unasema hivyo jana imeripotiwa kuwa IDF walijaribu kufanya ground offense ndani ya Gaza kupitia Khan Younis ila alqassam brigade iliwachapa ikaua nwanajeshi mmoja na kujeruhi watatu jeshi likasitisha uvamizi likisema Hamas Wana nguvu ya kujibu mashambulizi wanahitaji muda zaidi kujipanga.