LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Tuwasaidie nini sasa wakati dawa ya moto ni moto na akuanzae mmalize?

Mnataka huruma yetu ya nini sasa?

Wakati mlipowavamia wayahudi mlitegemea watawarushia keki na maua?

Wakati mlipoua wanajeshi 390 na raia 1200 mlitegemea watawakenulia meno?

Mnatulilia nini sasa badala ya kupambana?

Nyinyi si wanajeshi,,mbona mnajificha nyuma ya raia na kuvaa kiraia?

Wanaume waoga ndio wanajificha nyuma ya raia,,na wanajeshi waoga ndio hawavai sare za kijeshi vitani.
Mnataka huruma yetu ya nini?

Pigananeni acheni kulalama.

Au mlidhani wayahudi hawawezi kuwafuata huko Gaza eeeh eeh?

Wanaume tena wanajeshi mnalialia kuomba dunia iwaonee huruma badala ya kupigana.

Acheni utoto maana na sisi tuna matatizo yetu huku afrika,nyie pambaneni na shida zetu sisi wabantu hazituhusu na hata tungekua na shida msingetusaidia kwa kigezo cha dini na rangi na imani zetu.

Wanajihad wa hamas sasa mlitegemea mteremko katika kuwashambulia wayahudi afu mnajificha mashuleni na misikitini na mahospitalini.

Mnavaa kiraia ili msijulikane? Acheni uoga wanajeshi hawapo hivyo.

Mbona wayahudi wanapigana hawalilii lii kama nyinyi kutafuta huruma ya dunia.

Acheni uoga wanaume wa hamas na mmeachia wayahudi wenye pasport za marekani na mnataka kuwaachia wayahudi wenye passport za urusi na nchi za ulaya kwa kua mnaziogopa hizo nchi au mnatafuta huruma.

Piganeni acheni kutafuta huruma yetu wakati tukiwa na shida zetu hamtusaidii wala kutujulia hali.

Tangu lini wanajeshi mkawa mnalialia kwenye vita?

Kama mliua jumla ya watu 1500 ,bas msidhani hao mliwaua ndugu zao watawarushia keki badala ya mabomu na risasi.

Ooooh watanzania tuombeni.

Mbona nyinyi hamtuombei kwenye shida zetu.

Acheni utoto piganeni kama wanaume sio kutafuta huruma yetu.

NB: AU MLIDHANI WANAJESHI WA ISRAELI HAWATOWEZA KUINGIA GAZA EEEH KAMA WALIVYOWASHAURI HEZBOLLAH KUA MKISHIKILIA WAYAHUDI MATEKA BASI JESHI LAO HALITAINGIA GAZA?

WANAUME KULIALIA NA KUTAFUTA HURUMA YA DUNIA NI UDHAIFU.

MWANAUME PAMBANA NA HALI YAKO KIUME.

YAANI SISI WABANTU WA AFRIKA TUANDAMANE KWA SHIDA ZENU?

MBONA NYINYI HAMUANDAMANI SISI TUKIWA NA SHIDA?
 
Tuwasaidie nini sasa wakati dawa ya moto ni moto na akuanzae mmalize???
Mnataka huruma yetu ya nini sasa??
Wakati mlipowavamia wayahudi mlitegemea watawarushia keki na maua???
Wakati mlipoua wanajeshi 390 na raia 1200 mlitegemea watawakenulia meno??
Mnatulilia nini sasa badala ya kupambana??
Nyinyi si wanajeshi,,mbona mnajificha nyuma ya raia na kuvaa kiraia??
Wanaume waoga ndio wanajificha nyuma ya raia,,na wanajeshi waoga ndio hawavai sare za kijeshi vitani.
Mnataka huruma yetu ya nini???
Pigananeni acheni kulalama.
Au mlidhani wayahudi hawawezi kuwafuata huko Gaza eeeh eeh??
Wanaume tena wanajeshi mnalialia kuomba dunia iwaonee huruma badala ya kupigana.
Acheni utoto maana na sisi tuna matatizo yetu huku afrika,nyie pambaneni na shida zetu sisi wabantu hazituhusu na hata tungekua na shida msingetusaidia kwa kigezo cha dini na rangi na imani zetu.
Wanajihad wa hamas sasa mlitegemea mteremko katika kuwashambulia wayahudi afu mnajificha mashuleni na misikitini na mahospitalini.
Mnavaa kiraia ili msijulikane??? Acheni uoga wanajeshi hawapo hivyo.
Mbona wayahudi wanapigana hawalilii lii kama nyinyi kutafuta huruma ya dunia.
Acheni uoga wanaume wa hamas na mmeachia wayahudi wenye pasport za marekani na mnataka kuwaachia wayahudi wenye passport za urusi na nchi za ulaya kwa kua mnaziogopa hizo nchi au mnatafuta huruma.
Piganeni acheni kutafuta huruma yetu wakati tukiwa na shida zetu hamtusaidii wala kutujulia hali.
Tangu lini wanajeshi mkawa mnalialia kwenye vita??
Kama mliua jumla ya watu 1500 ,bas msidhani hao mliwaua ndugu zao watawarushia keki badala ya mabomu na risasi.
Ooooh wantanzania tuombeni
Mbona nyinyi hamtuombei kwenye shida zetu.
Acheni utoto piganeni kama wanaume sio kutafuta huruma yetu
NB: AU MLIDHANI WANAJESHI WA ISRAELI HAWATOWEZA KUINGIA GAZA EEEH KAMA WALIVYOWASHAURI HEZBOLLAH KUA MKISHIKILIA WAYAHUDI MATEKA BASI JESHI LAO HALITAINGIA GAZA??????
WANAUME KULIALIA NA KUTAFUTA HURUMA YA DUNIA NI UDHAIFU.
MWANAUME PAMBANA NA HALI YAKO KIUME.
YAANI SISI WABANTU WA AFRIKA TUANDAMANE KWA SHIDA ZENU??
MBONA NYINYI HAMUANDAMANI SISI TUKIWA NA SHIDA????

Mkuu umenena vyema hao hamas ni nothing but bunch of cowards.
 
Ooooh watanzania tuombeni
Mbona nyinyi hamtuombei kwenye shida zetu.
Acheni utoto piganeni kama wanaume sio kutafuta huruma yetu
NB: AU MLIDHANI WANAJESHI WA ISRAELI HAWATOWEZA KUINGIA GAZA EEEH KAMA WALIVYOWASHAURI HEZBOLLAH KUA MKISHIKILIA WAYAHUDI MATEKA BASI JESHI LAO HALITAINGIA GAZA??????
WANAUME KULIALIA NA KUTAFUTA HURUMA YA DUNIA NI UDHAIFU.
MWANAUME PAMBANA NA HALI YAKO KIUME.
YAANI SISI WABANTU WA AFRIKA TUANDAMANE KWA SHIDA ZENU??
MBONA NYINYI HAMUANDA
1698350079930.jpg
MANI SISI TUKIWA NA SHIDA????
Umemaliza kila kitu.
1698350034775.jpg
 
Japo sijasoma ulichoandika ila naamini umeandika ujinga,

Na tambua Hamas ni wanaume wa kweli na watashinda dhidi ya madhalimu ..
 
Back
Top Bottom