LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Unanijua au unaropoka. .? Una upungufu wa akili kichwani na umejazwa uharo wa kiarabu kwenye hilo fuvu. Kunguni wewe kwanza umekula maana unaonekana una stress saana. Au unaenda kujilipua mpuuzi wewe. Unasemea watu usio wajua. Kenge sana wewe jamaa. Mamako na babako siku wanazagamuana kukupata hata wangevaa ndom tu na sio kuzaa mjinga kama wewe. Matumiz ya condom yahimizwe hili taifa lisiwe na uzao wa kifala kama aina yako. K#m@m@q0 usinizoee sina shobo na waosha mik#nd#. Kenge wewe
No this is not good jamani. Haya matusi ni makali. Mwana JF zingatia maudhui
 
Hapa naona hatma ya mtanzania mwenzetu ambaye haifahamiki alipo ipo mashakani...

hamas.PNG
 
Habari, karibu kwenye mjadala wa israel na palestina, kabla haujasema chochote fahamu kua ninasimami upande wa palestina na haki zao zote dhidi ya waonezi wa Israel ambao lengo lao ni kuwamaliza wapalestina wote. Naamini hawatafanikiwa ila ni vizuri tujifunze historia kuliko kuwatetea Israel kichwakichwa.
 
Palestina hakuna anaewataka hata waislam wenzao hawataki hata kuwapa hifadhi
 
Palestina hakuna anaewataka hata waislam wenzao hawataki hata kuwapa hifadhi
Sio kweli unatakiwa kuangalia hao unaosema waislam ni wakina nani?

Tuanze
Egypt - raisi kibaraka wa marekani
Saudi Arabia- kibaraka wa marekani
UAE- kibaraka wa marekani
Syria- wana matatizo ya vita ngumu kuhamia
Yemen- vita
Iran- mbali
Na kubwa zaidi wapalestina wenyewe hawataki kwa asilimia kubwa kuhamia nchi za watu, jaribu ku google "nakba" uelewe zaidi.
 
Wauliwe Tu Kwa ugaidi wao.. kill them all mother fanta
Akili huna, people like you with single digit IQ are the problem to society.
Nakuacha tu uendelee kuishi kwenye ulimwengu wa movie, ndo kazi mnazojua.
Karibu duniani.
 
Habari, karibu kwenye mjadala wa israel na palestina, kabla haujasema chochote fahamu kua ninasimami upande wa palestina na haki zao zote dhidi ya waonezi wa Israel ambao lengo lao ni kuwamaliza wapalestina wote. Naamini hawatafanikiwa ila ni vizuri tujifunze historia kuliko kuwatetea Israel kichwakichwa.
Ni ujinga tupu!
 
Shida ni watu wa dini kutokujali ubinadam
bali wameegemea wanakolishwa propaganda
na wanaona ipo haki mtu kufanyiwa dhulma na kuuwawa na kisa tu si mtu katika iman yao.tuangalie zaidi utu na siyo dini. Udhalimu anao fanya israel ni wakukemewa.
kuna mbwa wanaamin hilo ni taifa pendwa la mungu
 
Amen

Kama wa Palestina wataamua kutulia na kuacha ugaidi basi Israeli na Palestina kutakua na amani.
 
Back
Top Bottom