Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaukumbi.
Katika hali isiyo ya kawaida Mateka wa kike ambayo walikuwa wanashikiliwa huko Gaza wameonyesha mapenzi makubwa kutoka kwa Hamas kwa jinsi walivyokuwa wanaishi nao wakati wametekwa.
Kuna wengine walikuwa wanataka kubakia Gaza sema kutokana na serikali ya Israel imebidi warudi Israel. Kuna mwanamke mmoja yeye alitekwa pamoja na mbwa wake wote walikuwa wanapewa chakula na maradhi mengine. Serikali ya Israel wamejiribu kuwalisha propaganda mateka waongee uongo wamekataa walichofanya wamewakataza wasiongee na vyombo vya habari, angalia video hiyo wanawaga kwa kuwapungia mikono Hamas huku wakiwa na furaha.
===============
BREAKING: ISRAELI HOSTAGES WAVING, SMILING AND SHOWING POSITIVE EMOTIONS TOWARDS HAMAS
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1730016453984727418?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
😂😂Gaidi ni gaidi tu hata muwapambe vipi.
Mheshimiwa hio ya chini ya pazia umenda mbali sidhani 😄Hujawahi kutokea mateka kuwa na furaha hivi? walitunzwa vizuri na huenda kuna mengi chini ya pazia mazuri waliofanyiwa.
It looks like they don't feel like returning home, and they would prefer to stay with Hamas 😂😂😂😂Such a humane treatment on the part of Hamas.Sasa ulitekwa na unajua kabisa watekaji wakikuteka ni ndio mwisho wako sasa ,sasa unaenda kule alafu unakuta mambo ni tofauti kwanini usifurahi .kizuri zaidi mtekaji anakuachia kwenda kuungana na familia yako kwanini usimpungie mkono mtekaji na kumshukuru . N.B sio kwamba hamas wanaupendo na huruma kwa wale walio wateka bali walicho kuwa wanafanya watekwaji ni unafiki kutaka kuihadaa dunia kwamba wao ni watu wema na wanaupendo huku kitendo cha kufunika nyuso zao na kuweka bunduki vifuani mwao kinaonesha wao ni wauwaji 100℅
Chini ya pazia huenda wakapelaka posa baada ya vita sina maana mbaya sisi ni Waislam.Mheshimiwa hio ya chini ya pazia umenda mbali sidhani 😄
Mpaka wanaume, wazee, watotoUkute mtu alikuwa single
🤔 Je, nchi za Magharibi zenye ubaguzi wa rangi na vipofu zinaweza kuona picha zote mbili za wafungwa watoto - moja iliyoshikiliwa na Waislamu, msichana aliyeachiliwa kwa heshima na hadhi ya mbwa wake, licha ya Wazayuni kuharibu kila aina ya maisha katika mazingira yake, na nyingine, akitokea Jela za Kizayuni zilizovunjika mikono, mikono na vidole? Iwapo Wamagharibi wanaona kwa macho ya Wazayuni tu na wanasikia kwa masikio yao tu, basi inawahusisha wao kuwa washirika wa kimsingi katika jinai zote zinazofanywa dhidi ya Wapalestina.Mleta mada hivi wewe umetekwa na gaidi linalotishia kukuua Muda wowote Kisha linakuachia na kukuambia nimekuachia niseme vizuri usiponisema vizuri sisi magaidi tuko Kila sehemu tutakutafuta Hadi tukuue.Ulitegemea walipoachiwa waseme vibaya?
Bado wako na trauma ya maumivu ya kilichowatokea.Ndio maana Israel wamewapiga marufuku kuongea na vyombo vya habari bado wako chini ya uangalizi wa madaktari kuanzia wa afya ya akili nk
Mbona kama unawaonea wivu hao wanawake mateka? 🤣Ingekuwa ni mfungwa mwanamama wa kipalestina amefanya hivyo kwa askari wa israel wakati anaachiwa kurejea kwao Palestina angeenda kukatwa kichwa huko Gaza!.
Funzo, waarab sio wastaarab...ni wanafki wakubwa.
This single video destroyed the entire Zionist propaganda machine.Chakula na maradhi mengine?
No, maradhi ni magonjwa.
Malazi ni sehemu ya kuishi na mahitaji
Na wewe unataka? Mbona kama unawaonea wivu wanawake wenzioGaidi ni gaidi tu hata muwapambe vipi.
Masikio,tafsiri ya lugha hadi kumsoma mtu kuanzia macho na mwili wote tunatofautiana sana katika kutafsiri.Itoshe kuandika.."sawasawa"...!
1 SAMWELI 16:7 Lakini BWANA akamwambia Samweli, Usimtazame uso wake, wala urefu wa kimo chake; kwa maana mimi nimemkataa. BWANA haangalii kama binadamu aangaliavyo; maana wanadamu huitazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo.Mimi ni binti tena wa kilokole haswa ila kuna namna hawa vijana wa Hammas wamenivutia sana, toka nilivyoanza kuangalia hizi video za kuachilia mateka nimetokea kuwapenda, yaan vijana wanavutia na yale mavazi yao halafu body zao sasa, wamejificha ila ni mahandsome balaa na wanavyowatreat waisrael aiseee nimejikuta nimefall in love kwao