Haya mnayaona ni sw tu kisa Israel hakutakiwa kujibu baada ya kushambuliwa hapo 7 oct , israel ikianza kujibu msije kulaumu watuVita ya kiuchumi dhidi ya Israel inayoendeshwa na Yemen kwa nafasi yao vimezidi kushika kasi baada ya kuipiga meli nyengine ya mizigo iitwayo Aljasrah ikielekea Israel.
Meli hiyo ilikuwa ikipeperusha bendera ya Liberia.Kuonesha ukali wa vita hivi meli za kivita za Marekani,Israel na Ufaransa ambazo zimekuwa zikivinjari maeneo hayo zimekiri kutokea kwa shambulio hilo na hawakuweza kulizuia.
Liberian-flagged Container Ship Catches Fire After Being Hit By Projectile in Red Sea