100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Israel haijamaliza hata 2% ya Hamas, Israel inaua watoto na wanawake kwa sababu ya uoga wa vita, wanahisi ni only solution kuwaogofya Hamas.Ni sawa na mtu amekupiga mtama na kukukalia kwa juu alafu watu wa pembeni wanamwambia huwezi kumpiga huyo
Netanyahu ana aibika.