Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Pengine wameuatekaKwanza hayo magar wameyatoa wap
Alafu mbona Kama ni wamevaa hijab
Au ni ke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine wameuatekaKwanza hayo magar wameyatoa wap
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1791925906509832502
"Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa marafiki. Wao kwa wao ni marafiki. Na yeyote miongoni mwenu anaye wafanya marafiki basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongozi watu waliodhulumu."
Mwenyezi Mungu hawakatazi, kuhusu wale ambao hawakupiganeni nanyi kwa dini, wala hawakukutoeni majumbani mwenu, kuwa watendeeni wema na kuwa watendeeni uadilifu. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao uadilifu. Mwenyezi Mungu anawakataza tu kuwafanya marafiki zenu wale waliopiganeni nanyi kwa dini, na wakakutoeni katika majumba yenu, na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu. Na wanaowafanya hao kuwa marafiki, basi hao ndio madhalimu."
Hizo ni hadithi walizotunga wenyewe kujipa ujiko tuu.Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni Uzi maalumu Kwa watu maalumu na walio makini kutupa uzoefu wa orodha ya matukio mbalimbali yakiyohusisha adhabu walizopata wale waliokusudia kuwadhuru Waisrael
Unachotakiwa kufanya ni kuweka tukio na adhabu aliyoipata mhusika/ wahusika na iliwezekanaje mwaka husika
1.
10 Basi wakamtundika Hamani juu ya mti aliomwekea tayari Mordekai. Ghadhabu ya mfalme ikatulia.
Esta 7:10
2. Goliath aliishia kukatwa kichwa na Daudi
3. Farao aliishia kuzama baharini eye na Jeshi lake lote
4. Mfalme Nebulhadnezer aliishia kula majani kama mnyama
Wenye hekima mliona mbali.Mkuu ni ukweli tunajua kuwa palestina anaonewa lakin hii haifanyi sote tuunge mkono upumbavu wa Hamas unaoenda kusababisha vifo vya watu wengi wa palestina wasio na hatia.
Hawa mapunguani wengi ni mashabiki mandazi hivi vita wamevijua JF juzi mtu yupo Mateke anatoa tamko kwa Hamas😂Hamasi hashindwi vita dogo, Hamasi anapigana na Baba yake taifa la mashoga.
Hamasi hapigani na Israel, wale ni jeshi la Pampers anapigana na hawa soma mwenyewe