LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wayahudi koko wa huku kwetu tukuyu watakuja kukushambulia utafikiri wew ndio ulierekodi tukio zima lilivyotokea.

Hawa wajinga wanazidi kuumbuka siku hadi siku. Kwa sasa hata Burundi inaweza kwenda kuleta chokochoko Israel wakiamini kuwa bila Marekani kuingilia kati wanaweza kuitwanga Israel na Netanyahu akaja kufanywa mke wa Ndayishimiye pale Bujumbura.
 
Kama vipi Israel aingie Lebanon Kama alivyoingia Gaza,yaani mazima
Mpaa sa ivi wanashauriana na US na UK na France lakini kila mmoja anaogopa moto utakao waka.

Iran, Afghanistan, Iraq, wanasema wataingia hi vita kama hao wakingia.

Iran anamuambia US kama Israel ni mwamba mwachie apigane na Hezbullah sisi wengine tubaki tunatazama nani mshindi 😄
 
Wamesema wanasubiri tu wapate ruhusa kutoka kwa Nasrallah
 
Kama vipi Israel aingie Lebanon Kama alivyoingia Gaza,yaani mazima
Hana jeshi wala silaha za kuingia huko. Netanyahu anasikilizia labda baada ya uchaguzi babu yake Biden atampa silaha na askari kidogo wa kumsaidia kuingia vitani na Hezbulla japo ni ngumu kwa sababu wamarekani wanaujua mziki wa hao jamaa na pia hawawezi kuingia ktk vita ambayo itakuwa na gharama kubwa kwao.

So huko hawezi kuvamia japo hezbulla imeshaonesha ham ya kutaka jamaa avamie ili wamchape yeye na wajinga wenzake.
 
Hizbullah wanautaka mji wao wa galilaya
 
Mpaa sa ivi wanashauriana na US na UK na France lakini kila mmoja anaogopa moto utakao waka.

Iran, Afghanistan, Iraq, wanasema wataingia hi vita kama hao wakingia.

Iran anamuambia US kama Israel ni mwamba mwachie apigane na Hezbullah sisi wengine tubaki tunatazama nani mshindi 😄
Safi sana, hadi kieleweke
 
Katika ulimwengu wa kijasusi, Vita inatengenezwa, mfano,
Rwanda anataka sababu ya kuishambulia TZ,
Anafanya hv"anapiga bomu kambi yake,akitokea mpakani,watu kadhaa wanakamatwa, wakiwa na vitambulisho vya TOSS, au jwatz,tena wanaongea Swahili vzr, "wanakili kuwa, wametumwa na serial ya, TZ? " Hapo,lazima kiwake,
Hiki kinachoendelea Kati ya Hezbollah na Israel, kwamba Hezbollah ameweza kuwa na dhana za Vita za ki sasa, anazirusha kwenye anga ya Israel, bila Israel kujua, kwamba Hezbollah ameweza ku mark kambi zote za jeshi, na vituo vya makombora ndani ya Israel! Na, Israel amesbindwa kuzuia!
Swali huu uwezo, wa Hezbollah ulikuwa wapi wakati Hamas inapigwa? Kwanini hakuwasaidia wa Arab wenzie? Kuwaonyesha target za ku piga!?
Pili tunajua Hezbollah na Hamas bwana wao ni Iran, mbona Iran assets zao,kibao zimepigwa na ha kuweza kujibu kwanini ye ye Hana huu uwezo, ambao wanafunzi, wake wanao?
Hili ni game tu linachezwa, na CIA, Mossad, kuna agents wako ndani ya Hezbollah wanafanya kazi, na Mossad, ndio wanapewa hz mambo, Hezbollah anashangilia, anatafutiwa sababu tu
 
Kama vipi Israel aingie Lebanon Kama alivyoingia Gaza,yaani mazima
Kwani mazayuni hawakumbuki walivyoingia 2006 kiliwakumba nini? kama huelewi, walitandikwa mpaka wakasalimu amri. h

Kwa kukujuza tu, Lebanon mpaka basha wake zayuni, mmarekani alitoka mbio kwa kombora moja tu, pigo kali pigo takatifu mwaka 1983.

Ghaza kaingizwa kwa nguvu, ndipo alikuwa anatakiwa afike, akaingia kichwa kichwa, iliyobaki anauwa watoyto na wanawake tu, wakijidai kujitokeza wanabamizwa kila kukicha.

Kama huelewi kinachoendelea Ghaza, jonee:

View: https://youtu.be/iusXy8dyC0Q?si=_dBPh5RqAZ-v6_Si
 
Back
Top Bottom