Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaWayahudi koko wa huku kwetu tukuyu watakuja kukushambulia utafikiri wew ndio ulirekodi tukio zima lilivyotokea.
Mpaa sa ivi wanashauriana na US na UK na France lakini kila mmoja anaogopa moto utakao waka.Kama vipi Israel aingie Lebanon Kama alivyoingia Gaza,yaani mazima
Ameshaonywa na bwana wake kuwa Iron dome zake hazitofaa mbele ya HizbullahKama vipi Israel aingie Lebanon Kama alivyoingia Gaza,yaani mazima
Wamesema wanasubiri tu wapate ruhusa kutoka kwa NasrallahMpaa sa ivi wanashauriana na US na UK na France lakini kila mmoja anaogopa moto utakao waka.
Iran, Afghanistan, Iraq, wanasema wataingia hi vita kama hao wakingia.
Iran anamuambia US kama Israel ni mwamba mwachie apigane na Hezbullah sisi wengine tubaki tunatazama nani mshindi 😄
Hana jeshi wala silaha za kuingia huko. Netanyahu anasikilizia labda baada ya uchaguzi babu yake Biden atampa silaha na askari kidogo wa kumsaidia kuingia vitani na Hezbulla japo ni ngumu kwa sababu wamarekani wanaujua mziki wa hao jamaa na pia hawawezi kuingia ktk vita ambayo itakuwa na gharama kubwa kwao.Kama vipi Israel aingie Lebanon Kama alivyoingia Gaza,yaani mazima
Hizbullah wanautaka mji wao wa galilayaHana jeshi wala silaha za kuingia huko. Netanyahu anasikilizia labda baada ya uchaguzi babu yake Biden atampa silaha na askari kidogo wa kumsaidia kuingia vitani na Hezbulla japo ni ngumu kwa sababu wamarekani wanaujua mziki wa hao jamaa na pia hawawezi kuingia ktk vita ambayo itakuwa na gharama kubwa kwao.
So huko hawezi kuvamia japo hezbulla imeshaonesha ham ya kutaka jamaa avamie ili wamchape yeye na wajinga wenzake.
Safi sana, hadi kielewekeMpaa sa ivi wanashauriana na US na UK na France lakini kila mmoja anaogopa moto utakao waka.
Iran, Afghanistan, Iraq, wanasema wataingia hi vita kama hao wakingia.
Iran anamuambia US kama Israel ni mwamba mwachie apigane na Hezbullah sisi wengine tubaki tunatazama nani mshindi 😄
Kwani mazayuni hawakumbuki walivyoingia 2006 kiliwakumba nini? kama huelewi, walitandikwa mpaka wakasalimu amri. hKama vipi Israel aingie Lebanon Kama alivyoingia Gaza,yaani mazima
Israel imeanzisha vita miaka zaidi ya 75 sasa, ulikuwa huelewi?Israel ianzishe vita turudi baada ya mwaka kuona wapi kuna magofu, wapi hakuna huduma za kijamii na ni kina nani wamekuwa wakimbizi