LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
👐👐👐
🇱🇧🇮🇱 ☢️ Hezbollah has put the Dimona Nuclear Plant on their target list
20240623_185903.jpg
 
Mpaa sa ivi wanashauriana na US na UK na France lakini kila mmoja anaogopa moto utakao waka.

Iran, Afghanistan, Iraq, wanasema wataingia hi vita kama hao wakingia.

Iran anamuambia US kama Israel ni mwamba mwachie apigane na Hezbullah sisi wengine tubaki tunatazama nani mshindi 😄
Ndo mnavyodanganyana hivyo masjid nyie mbweha wavaa vipedo pumbafuuu
 
Mpaa sa ivi wanashauriana na US na UK na France lakini kila mmoja anaogopa moto utakao waka.

Iran, Afghanistan, Iraq, wanasema wataingia hi vita kama hao wakingia.

Iran anamuambia US kama Israel ni mwamba mwachie apigane na Hezbullah sisi wengine tubaki tunatazama nani mshindi 😄
Msiwe wajinga kushabikia vita.hata sisi hatuko salama.ni punguani tu ambaye atashabikia vita.watz ni wajinga sana kwa kudhani vita ni kitu kizuri.hata hizi biashara tunazofanya hatutazifanya tena .watoto,wanawake na pia wazee watakufa kama nzige.hizo vita ni wakubwa wanafanya biashara ya silaha ndo maana unaona kagame anamtunishia dr congo sababu anajua nani yuko nyuma yake.acheni ujinga wa kushadadia vita.
 
Katika ulimwengu wa kijasusi, Vita inatengenezwa, mfano,
Rwanda anataka sababu ya kuishambulia TZ,
Anafanya hv"anapiga bomu kambi yake,akitokea mpakani,watu kadhaa wanakamatwa, wakiwa na vitambulisho vya TOSS, au jwatz,tena wanaongea Swahili vzr, "wanakili kuwa, wametumwa na serial ya, TZ? " Hapo,lazima kiwake,
Hiki kinachoendelea Kati ya Hezbollah na Israel, kwamba Hezbollah ameweza kuwa na dhana za Vita za ki sasa, anazirusha kwenye anga ya Israel, bila Israel kujua, kwamba Hezbollah ameweza ku mark kambi zote za jeshi, na vituo vya makombora ndani ya Israel! Na, Israel amesbindwa kuzuia!
Swali huu uwezo, wa Hezbollah ulikuwa wapi wakati Hamas inapigwa? Kwanini hakuwasaidia wa Arab wenzie? Kuwaonyesha target za ku piga!?
Pili tunajua Hezbollah na Hamas bwana wao ni Iran, mbona Iran assets zao,kibao zimepigwa na ha kuweza kujibu kwanini ye ye Hana huu uwezo, ambao wanafunzi, wake wanao?
Hili ni game tu linachezwa, na CIA, Mossad, kuna agents wako ndani ya Hezbollah wanafanya kazi, na Mossad, ndio wanapewa hz mambo, Hezbollah anashangilia, anatafutiwa sababu tu
Hujui chochote
 
Mpaa sa ivi wanashauriana na US na UK na France lakini kila mmoja anaogopa moto utakao waka.

Iran, Afghanistan, Iraq, wanasema wataingia hi vita kama hao wakingia.

Iran anamuambia US kama Israel ni mwamba mwachie apigane na Hezbullah sisi wengine tubaki tunatazama nani mshindi 😄
Nyie mjitoe tu ufahamu, kwa akili zenu Iran,Iraq ndo wakupigana vita na USA, UK, France, Israel?
 
Mara hii mmeshamsahau Ebrahim Raisi; hata kichwa halijaacha kiwiliwili! Hivi uchunguzi wa kuuliwa kwake ulifanyika kweli?
 
Back
Top Bottom