LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nipe sababu wewe ya kuhamisha uzi wangu; maana kama ingekuwa upuuzi wangefuta

Mkuu, humu nyuzi huhamishwa, zikafutwa na hata watu hula bans zikiwamo nzito nzito.

"Kiungwana ukiandika unakaa kwa kutulia."

Unachoona kwako ni hoja nzito, kwa wengine kinaweza kuwa trash. Ndiyo maana matusi haina haja, ila majibu hoja kwa hoja.

Si ulisikia ule usemi kuwa:

"Ganda la muwa la juzi .. ?"
 
Hawa israel walikuwa wanajua Hezbollah ni kama Hamas ambao hawana silaha, Netanyahu safari hii hatajuta huku Yemeni. Huku Iran. Huku Hezbollah. Huku Hamas, tuliaminishwa alishawahi kushinda vita kwa siku 6😁 Gaza mwaka umekatika sasa hawajui mateka wao walipo.
 
🚨🇮🇱🇱🇧HEZBOLLAH YAZINDUA USHAMBULIAJI WA KOMBORA KWENYE ISRAEL YA KASKAZINI

Ving'ora vinaonya kuhusu kurushwa kwa roketi katika mji wa Kiryat Shmona nchini Israel na maeneo jirani siku moja baada ya watu 2 kuuawa wakati Iron Dome iliposhindwa kuzuia maroketi.

Katika siku chache zilizopita, Hezbollah imelenga Kiryat Shmona na Haifa kwa mamia ya roketi.

Chanzo: Red Alerts
 
Kwaiyo Uyu Israel ndio uyu kweli tulioambiwa kuwa ni kidume chenye nguvu kubwa mido est yote anawakalisha ndio uyu kazwabwa vibao LIVE na adi Leo wapo kwenye vikao vizitoo jibu awajapata sasa sisi waisrael wa uku kidudwe tunasema Netanyahu umetuangusha kama muoga ivi kwanzia Leo tutakuita netapanya sio nyahu nyau sio muoga kamaww.
 
Mwaka wako huu NETAPANYA vijana wamechoka wanatuma mauwa popote ulipo walipo nduguzo.
 

Baby acha kupost Propaganda, tujadili Watu Munafiki kwenye nchi za Kiarabu, Hezbollah imeingiliwa na Waisrael vibaya sana.

Hivi hamshangai Israel inajua Mahali, saa viongozi wa Hezbollah wanakuwa wapi, Wanajua Mahandaki ambayo Hezbollah inatunza Silaha za Kimkakati.

Jambo kubwa zaidi ni Yule Fuad aliyekufa wakati mmoja na Haniya... Yule aliuliwa alipokuwa ameenda kwa mke wa pili, hii information ni very interesting kuvuja...
 
Wanaukumbi.

Wote waliuawa na uvamizi wa Israel na upinzani bado unazidi kuimarika.

Miaka 30 ya mashahidi katika uongozi na Israeli bado haijajifunza kuwa kamwe huwezi kuondoa itikadi.
=========================
All of them were assassinated by the Israeli occupation and the resistance is still getting stronger.

30 years of martyrs in the leadership and Israel still hasn’t learned that you can never eliminate an ideology.


View: https://x.com/suppressednws/status/1847047485929234462?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom