Kwanini mwanzo walisema ni CAPTAIN wa jeshi la wananchi na sasa ni afisa wa jeshi la Polisi? Maana ake kuwa sio habari zote za kuamini mpaka itakapothibitishwa na mamlaka husika
Nakazia hoja. Halafu nukuu inasema: "JM amebakwa na kulawitiwa usiku huo hadi kesho yake asubuhi. Video ile imerekodiwa asubuhi wakati wahuni hao wanamaliza kufanya uhalifu".
Kama ni asubuhi manake kitendo "in action" kilishapita. Inakuwaje tena walijirekodi wakati wa tukio likiendelea?
Halafu tena huyo "JM alikuwa anatoka kazini saa tano usiku, akavamiwa na pikipiki mbili, ....."Je,Haiwezekani JM alizinguana na mmoja wa wateja huko Bar/Grocery?
Ni kweli Mamlaka husika ndo wataweza kutengua kitendawili hiki.
 
Hakuna kesi hapo , nawaambiaga Kesi ya wakubwa utanukumbusha kwamba waliizuga Zuga tu, wameshaichezesha kitambo! Wanasema wamekamatwa Kuna mwenye ushahidi kwamba kuna alokamatwa?

Uongo uongo tu


Britanicca
Kule twita aliyetoa taarifa hizi ni boniyai,akadai mumewe ashafariki,alipobanwa aelezee kifo chake kapiga kimya.Mdau mwingine akadai mume WA mtuhumiwa alifariki 2021 🙌
 
Jeshi lililojichokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…