Malipo ni hapahapa duniani
 
Kwahiyo hata mimi nikiandika utumbo hapa sidakwi au mambo yamebadilika??
Uliwahi kujua kisa cha mello kushitakiwa? kama ungebahatika kujua bila shaka ungeelewa kwamba Magufuli hakuwa mtetezi wa Nchi, alikuwa anadanganya tu,ule uzi ulikuwa unaweka wazi michezo yote michafu ya mambo ya mafuta bandarini, aliyeuleta alipaswa kuvishwa nishani badala ya kuwindwa ili auawe.

Hivi ile nyumba iliyotumika kunyonya mafuta iliyodaiwa kukamatwa na RC wa DSM ulisikia tena habari zake?
 
Thubutuuuuu,ule mchongo sio wa kitoto ni ma engineers ndio waliunga pipe,mchongo wa wakubwa ule.
Sisi tunakimbizana na vidumu TU docs
 
Ndo mana nasemaga watz ukifanikiwa kuwaroga kwenye tv na social media kupitia content creation rahis sana kuwadaka.
 
Ungeelezea vizuri ingependeza,kwani huyo fuhurer alimchokoza nini da Fatu mpaka atake kumkamata?
 
Si ndiye inasemekana aliyeombwa msamaha na yule binti ALIYEBAKWA . Kwasasa yupo Dodoma.
 
Hivi iliishia wapi ndugu????
 
Kudadeeki wanasheria wanataka kugawana afande. Huku kisabo kule madeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…