Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malipo ni hapahapa dunianiKatika kufuatilia kupata ukweli, ASP Fatuma Kigondo aliingia kwenye mtandao huo kutafuta aliyechapisha taarifa hizo ambapo waligundua kuwa ni Fuhurer JF Expert member ndiye aliyechapisha taarifa hiyo.
Kufuatia hayo, Februari 23, 2016 Kigondo aliandika barua kwenda kwa Mkurugenzi wa Jamii forums ili awapatie taaarifa za mtu huyo ambapo walipokea barua toka Jamii Forums ikidai kuwa wanahaki ya kulinda faragha za wateja wao.
Uliwahi kujua kisa cha mello kushitakiwa? kama ungebahatika kujua bila shaka ungeelewa kwamba Magufuli hakuwa mtetezi wa Nchi, alikuwa anadanganya tu,ule uzi ulikuwa unaweka wazi michezo yote michafu ya mambo ya mafuta bandarini, aliyeuleta alipaswa kuvishwa nishani badala ya kuwindwa ili auawe.Kwahiyo hata mimi nikiandika utumbo hapa sidakwi au mambo yamebadilika??
Thubutuuuuu,ule mchongo sio wa kitoto ni ma engineers ndio waliunga pipe,mchongo wa wakubwa ule.Uliwahi kujua kisa cha mello kushitakiwa? kama ungebahatika kujua bila shaka ungeelewa kwamba Magufuli hakuwa mtetezi wa Nchi, alikuwa anadanganya tu,ule uzi ulikuwa unaweka wazi michezo yote michafu ya mambo ya mafuta bandarini, aliyeuleta alipaswa kuvishwa nishani badala ya kuwindwa ili auawe.
Hivi ile nyumba iliyotumika kunyonya mafuta iliyodaiwa kukamatwa na RC wa DSM ulisikia tena habari zake?
Ndo mana nasemaga watz ukifanikiwa kuwaroga kwenye tv na social media kupitia content creation rahis sana kuwadaka.Uliwahi kujua kisa cha mello kushitakiwa? kama ungebahatika kujua bila shaka ungeelewa kwamba Magufuli hakuwa mtetezi wa Nchi, alikuwa anadanganya tu,ule uzi ulikuwa unaweka wazi michezo yote michafu ya mambo ya mafuta bandarini, aliyeuleta alipaswa kuvishwa nishani badala ya kuwindwa ili auawe.
Hivi ile nyumba iliyotumika kunyonya mafuta iliyodaiwa kukamatwa na RC wa DSM ulisikia tena habari zake?
Hivi iliishia wapi ndugu????Uliwahi kujua kisa cha mello kushitakiwa? kama ungebahatika kujua bila shaka ungeelewa kwamba Magufuli hakuwa mtetezi wa Nchi, alikuwa anadanganya tu,ule uzi ulikuwa unaweka wazi michezo yote michafu ya mambo ya mafuta bandarini, aliyeuleta alipaswa kuvishwa nishani badala ya kuwindwa ili auawe.
Hivi ile nyumba iliyotumika kunyonya mafuta iliyodaiwa kukamatwa na RC wa DSM ulisikia tena habari zake?
Amefunguliwa mashtaka leoKwanini hajashikwa mpaka sasa?
Safi sana.Amefunguliwa mashtaka leo