Yanayotokea Kenya ni aibu tupu, tazameni hii video

#Akilizahandshake#
 
#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096
 
Watu watandikwe for now had wapate akili... Huku kwetu wabunge wametuhepa Dar kuelekea Dodoma kutuachia kirusi.
 
Heri wewe umeliona hili, tukisema sisi mnasema tunaichukia Kenya, but Kenyan police is the most brutal in the World, hovyo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri wewe umeliona hili, tukisema sisi mnasema tunaichukia Kenya, but Kenyan police is the most brutal in the World, hovyo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijawahi kuogopa kusema ukweli ilivyo. Mimi sipo JF kumfurahisha mtu yeyote. Mimi naongea ukweli ninavyoiona. Hii nchi ina ujinga. Vitu kama hivi ndio vinafanya nachukia hii nchi. Hii police brutality ni unnecessary. Halafu wanasiasa wananyamaza tu kwa sababu sio wao wanaoumia. Unapiga wanawake hivyo kwa nini? Huna mama au dada?
 
Nyani haoni kundule.
[emoji1][emoji1][emoji1] Nyani haoni kundule kweli. Ila ni taswira mbaya sana kutoka kwa Kenya Police. Wazo lenyewe la curfew lipo sawa, maanake inasemekana kwamba wakenya wanazingatia maagizo ya wizara ya afya mchana, lakini giza likiingia wanarudi kwenye mazoea yao ya kawaida. Natumai watalegeza muda iwe ni kutoka saa 2 au 3 usiku. Nachojua kwa uhakika ni kwamba kamanda wa polisi na vijana wake waliohusika kwenye tukio hilo bovu lazima watawajibika. Hivi karibuni, mbele ya shirika huru la kuchunguza 'conduct' ya Kenya Police, yaani IPOA(Independent Police Oversight Authority).
 
Sasa Subiri wakenya wenzako watakavyo tetea hii ujinga kwa kujenga hoja za kijinga kabisa kwa kulinganisha na Tanzania, wanajia kwamba Kenyan police brutality is the worst in the world, lakini bado kuna watu wanaendelea kuwatetea ili wasionekane wanazidiwa na Tanzania, stupid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There are always two sides to every story.Wakenya Wengine nao ni vichwa ngumu hawataki kufuata maagizo na mikakati waliowekewa .
Ila polisi nao wasitumie nguvu kupita kiasi.
 
Wameshakuja naona wameanza kuchagua zile comment zinazo unga mkono ujinga wao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakaazi wa Pwani walivyo wapole kisha Polisi kuwatandika mikwaju na mateke, hakika haki ya mKenya katika katiba mpya ipo ndani tu ya makaratasi yaliyosheheni sentensi na maneno mazuri lakini kiuhalisia hakuna kilichobadilika mfano tukio hili la Likoni ,Mombasa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…