Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #201
Bangala anapata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaleta ushabiki wa kipuuzi kwamba ile si penati daaahHawa jamaa ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu. Kwanza goli lenyewe la Geita halikuwa halali, maana mchezaji wa Yanga alichezewa faulo ya wazi! Lakini mwamuzi akapeta.
Sasa mchezaji wa Geita anajigongesha kwa makusudi mpira kwenye mkono, wanakuja na porojo zao! Hovyo kabisa.
Ngoje tuone matuta...huenda akatetema huko....😂😂😂Hatimae Yondan na Nyosso wamemfanya Mayele asiteteme
Duchu anaenda kupiga kwa upande wa Geota
Kakojoe ukalale wewe. Kesho uwahi shule. Mpira huujui, halafu unabweka bweka hapa.Yaani haya matimu yenu ya Yanga na Simba bila kubebwa huwa hamna kitu,sasa kuna penati kweli pale?
3-2Mayele anaenda kupiga...amepata