Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Hawa jamaa ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu. Kwanza goli lenyewe la Geita halikuwa halali, maana mchezaji wa Yanga alichezewa faulo ya wazi! Lakini mwamuzi akapeta.

Sasa mchezaji wa Geita anajigongesha kwa makusudi mpira kwenye mkono, wanakuja na porojo zao! Hovyo kabisa.
Wanaleta ushabiki wa kipuuzi kwamba ile si penati daaah
 
Na ndio maana Simba mpira wake unaleta hamasa kwasababu ushindani unaonekana

Ukishagundua kuwa umezidiwa basi kubali umezidiwa kama ambavyo Simba alivyo ridhika na hali aliyokumbana nayo leo

Sasa huyo ni geita na hapo ni kwa mkapa, mayele yupo, bangala yupo, saido yupo lakini bado unalendemka na kuuhanithi mpira kiboya halafu ukitoka hapo utuvimbie sisi wakimataifa sisi wa kihistoria

Pumbaaf hii mbeleko ya leo mmeijumuisha kwenye hilo daftari la historia?
 
Back
Top Bottom