Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Si mnautamani
Sisi kolo na miiko nyuma wapi na wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi kolo na miiko nyuma wapi na wapi?
Linakuja muda si mrefu.Nasubiria goal nimsunte scars
Kwani itakuwa mara ya kwanza?Haiwezekani si tu draw afu hawa mambwiga washinde
Anakuja anakuja Sister PLinakuja muda si mrefu.
Ukomo wa kiwango ndio mwanzo wa kumzonga refaMarefa kutoa advantage hawajuagi?
Itakuwa ya pili, ya mwisho ilikuwa na USGN kule NigerKwani itakuwa mara ya kwanza?
Maisha ni MENU na muhudumu ni muda, fasta unganisha order zenu kisha hukumu itakujaGeita anachelewesha hukumu huyu
Ni suala la muda ngoja tusubiriMaisha ni MENU na muhudumu ni muda, fasta unganisha order zenu kisha hukumu itakuja
Level ya mtoano hii Geita wamekomaa na dalili zinavyoonesha hii ngoma itaenda matunda
Na record za matuta tunazijua hofu yangu mtu akipigwa goli 9 tena
Aliye daka ile mechi ya goli 9-8 unamfahamu ama umemuona humuLevel ya mtoano hii Geita wamekomaa na dalili zinavyoonesha hii ngoma itaenda matunda
Na record za matuta tunazijua hofu yangu mtu akipigwa goli 9 tena
Kabisa ngoja tusubiriUzuri wa penati hazina mwenyewe
Hadi sasa amezipiga timu 1/2 za ligi kuu je timu y'ako imesalimika kupigwa Kati ya zilizo saliaYule dancer imekuwaje hadi sasa hajavizia kufunga?
🤣🤣Yule dancer imekuwaje hadi sasa hajavizia kufunga?