Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

Hahahah mpira umeanza shabikia juzi hapo kubebwa kabebwa nani?

Goli alilofungwa yanga ilianza fanyika faulo kwA ntibazokiza na refa kapeta hakuna aliye sikitika
Hawa jamaa ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu. Kwanza goli lenyewe la Geita halikuwa halali, maana mchezaji wa Yanga alichezewa faulo ya wazi! Lakini mwamuzi akapeta.

Sasa mchezaji wa Geita anajigongesha kwa makusudi mpira kwenye mkono, wanakuja na porojo zao! Hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom