Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Hiiiii bha ghoshaaaa mbeleko ya ngozi hii Wana Utopolo!
Au nasema uongo Wana Msimbazi?
πππππ₯π₯π₯
Au nasema uongo Wana Msimbazi?
πππππ₯π₯π₯
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameandaliwa na nani sheikh! Mpira uko wazi kabisa! Kila timu inapiga penati, na kupata vizuri tu!Hizi timu nyingine zingetimiza tu ratiba..maana utopolo ni kama washaandaliwa.
Acha tuwe mbumbumbu pengine kwasababu aliyetoa hilo jina alikuwa ni muafrika hatuwezi kumzingatia sana kulingana na nature ya waafrika walivyo walopokaji na ndio maana hata Chris Kross alipigwa kofiHawa jamaa ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu. Kwanza goli lenyewe la Geita halikuwa halali, maana mchezaji wa Yanga alichezewa faulo ya wazi! Lakini mwamuzi akapeta.
Sasa mchezaji wa Geita anajigongesha kwa makusudi mpira kwenye mkono, wanakuja na porojo zao! Hovyo kabisa.
Ila hapo anatafuta nini.?Wameandaliwa na nani sheikh! Mpira uko wazi kabisa! Kila timu inapiga penati, na kupata vizuri tu!
Penati ilikuwa ni halali kwa sababu mchezaji wa Geita amejigongesha mwenyewe mpira! Na hata marudio yameonesha hivyo
By the way, Yanga hana cha kupoteza hata akitolewa, bado Ubingwa wa Ligi kuu ni wake.
Wamekushida polisi, utawaweza Yanga?Geita tuachieni utopolo tafadhali tuna kazi nao.
Tayri hukoKweny penalty jitu halitoboi lzm linalala doro