Ni ujinga wa Kayoko, we uliona wapi refa anaona offside wakati kibendera aliye pembeni ameona onside?Wakati Simba wakinufaika na goli la offside Juzi, Leo Yanga wananyishwa goli halali kabisa hapa refa anadai ni offside..
Paka hapo ushajua nani anagawa bahasha
wanawaza kufumua kikosi chao chote wajaribu habati yao awamu ya pili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anapita kimya kimya....
Wamekubali hii Yanga sio size yao
Halafu kibendera anarudi kati kuwa tayariiii imejipa yeye ananyoosha offsideNi ujinga wa Kayoko, we uliona wapi refa anaona offside wakati kibendera aliye pembeni ameona onside?
hawa marefa wanaleta mahaba
Kwa taarifa ni kuwa Simba walikaa miaka 5 kabla ya kuja kuchua hiyo miaka minneYanga walikaa miaka minne bila kufungua nyuzi kama hizi , sasa hivi Mungu amewaona wanaanza jeuri
Mayele ni robot siyo mtu, goal machine robot
Sana. Hapa huu Uzi watajifanya hauwahusu. Wakati kila siku hata inapocheza Yanga wanakuwa kimbelembele kufungua nyuz na Uzi mzima wanatawala wao. Siku hizi huwaoniMiongoni mwa watu wanaopitia magumu ni pamoja na mashabiki wa simba
He needs more than 10 chances to score a single goalBut he has missed two clear chances
And he is a top a scorer with 9 goals from 11 games... What a player[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]He needs more than 10 chances to score a single goal
World cup tunaangalia bure iwe hii ruka ruka ya 🐸Inabidi vibanda umiza wapandishe viingilio kuiangalia Yanga.. Mpira wanaocheza Yanga nahisi kama vile kutoa jero ni kuwapunja
Kua na adabu.. hebu tafuteni unbeaten 10 tu huko kwanza kabla yakuleta upupu wwnu humuWorld cup tunaangalia bure iwe hii ruka ruka ya [emoji196]