Simba kufungwa na Raja hilo linawezekanaSawa maoni yako ni hayo ila kwa upande wangu baada ya kuangalia mechi ya Jana na Leo, timu ya Jana ina uwezo mdogo kuliko inayokuja Raja , vilevile timu ya leo nayo sidhani kama ina uwezo kuliko Tp mazembe kwa hiyo naamini kwamba mechi zijazo Simba na Yanga hawawezi kushinda...mechi tatu za mwanzo timu zetu zitaishia kupata point mojamoja tu kwa kutoa sare kule vipers na bamako
Shougaaa anguu leoo unalia mnooo, kwan tatizo nn eti? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu ukiacha kushabikia inatuathiri nini? Hayo ni maamuzi yako.
Hata mi naamini hivo ila sidhani kama vipers watakubali kufungwa kwao na simbaSimba kufungwa na Raja hilo linawezekana
Ila Simba kamwe haiwezi fungwa na Horoya wala Vipers kwa mkapa
Vipers imeondoa wachezaji wake muhimu maeneo mawiliHata mi naamini hivo ila sidhani kama vipers watakubali kufungwa kwao na simba
Simba pamoja na uyanga wangu, sina shaka juu ya kushinda mechi zao uwanja wa Mkapa. Wameshafanya hivyo kwa timu kubwa zaidi ya hiyo Raja. Ni ndoto kutegemea Simba kufungwa kwenye ule uwanja. Yanga kushinda ni hatiani kwasababu hana desturi hiyoSawa maoni yako ni hayo ila kwa upande wangu baada ya kuangalia mechi ya Jana na Leo, timu ya Jana ina uwezo mdogo kuliko inayokuja Raja , vilevile timu ya leo nayo sidhani kama ina uwezo kuliko Tp mazembe kwa hiyo naamini kwamba mechi zijazo Simba na Yanga hawawezi kushinda...mechi tatu za mwanzo timu zetu zitaishia kupata point mojamoja tu kwa kutoa sare kule vipers na bamako
Ngoja tusubiri tuone ila Simba wakijikaza wanaweza kushika nafasi ya pili, Yanga ngoma ngumu japo natamani kuona nao wanafikia 8 boraVipers imeondoa wachezaji wake muhimu maeneo mawili
Kiungo na ushambuliaji
Lakini kipa naye ni kama Ahmada tu
Tusubiri tuone japo naamini weekend ijao bado itakuwa mbaya tu kwa timu zetu.Simba pamoja na uyanga wangu, sina shaka juu ya kushinda mechi zao uwanja wa Mkapa. Wameshafanya hivyo kwa timu kubwa zaidi ya hiyo Raja. Ni ndoto kutegemea Simba kufungwa kwenye ule uwanja. Yanga kushinda ni hatiani kwasababu hana desturi hiyo
Kama zikiwa mbaya basi itakuwa ni asilimia ndogo sana za kusonga mbele.Tusubiri tuone japo naamini weekend ijao bado itakuwa mbaya tu kwa timu zetu.
Umeongea ukweli. Yanga kutengeneza nafasi za kufunga bado ni shida na iyo ni hata kwa ligi ya nyumbaniYanga wana dominate mpira lakini hawapeleki pressure kwenye timu pinzani
Wanaweza kushinda home lakini natabiri ugumu
Hii post inanishangaza kidogo. Wamekuibia simu nini?Simba pamoja na uyanga wangu, sina shaka juu ya kushinda mechi zao uwanja wa Mkapa. Wameshafanya hivyo kwa timu kubwa zaidi ya hiyo Raja. Ni ndoto kutegemea Simba kufungwa kwenye ule uwanja. Yanga kushinda ni hatiani kwasababu hana desturi hiyo
Duh!Umeongea ukweli. Yanga kutengeneza nafasi za kufunga bado ni shida na iyo ni hata kwa ligi ya nyumbani
Utakuwa mgeni na mimi, nyeupe hua nasema nyeupe. Siwezi kusema pink wakati naona nyeupe. Nimeanza kupenda mpira kabla ya timu hivyo ni mshabiki wa pili. Anza kwa kunifatulia vizuri tokea huko awaliHii post inanishangaza kidogo. Wamekuibia simu nini?
Poleni sana, ndiyo mpira huo! Jikazeni kiume.Utakuwa mgeni na mimi, nyeupe hua nasema nyeupe. Siwezi kusema pink wakati naona nyeupe. Nimeanza kupenda mpira kabla ya timu hivyo ni mshabiki wa pili. Anza kwa kunifatulia vizuri tokea huko awali
Ni mpira, ngoja tuone nini kitafunwa wikiend ijayo. Mechi ya jana na ya leo hazikustahili kuisha hivi zilivyoisha. Makocha na wachezaji wana namna la kufanya ili kuliweka sawa kwenye mapungufu.Poleni sana, ndiyo mpira huo! Jikazeni kiume.
Kwa nini unatumia x badala ya s?ukishakuwa mchezaji wa tp mazembe hata kama ni wakawaida tayari mentally ww utakuwa unajiona mkubwa,kwanza mazembe anamzidi yanga uzoefu nakila kitu nahawajawai kupoteza mchezo pale kwa mkapa, pili wanawafahamu vizuri wachezaji wengi wa yanga, tatu tofauti na waarabu wanaotumia xana akili kuliko nguvu ngozi nyeusi wakofiziki xana nawanafika xana miguuni, nne tayari wameshaokota points 3 nyumbani hawana presha wala hawatokuwa under pressure, .....hiyo game ngumu xana bora gama ya simba na raja kidogo inaonekana itakuwa open namianya yachances zakutengeneza magoli inaweza kupatikana kuliko game ya yanga na mazembe