Yanga akimfunga TP Mazembe naacha rasmi kushabikia mpira

[emoji1787][emoji1787] acheni ujuaji
 
Hapa tupo pamoja Yanga maximum points anaweza kusanya kwenye hilo kundi ni 4 tu na sio zaidi ya hapo
Yanga hana uwezo wa kumfunga Monastir wala Tp Mazembe Taifa labda aambulie sare moja kwenye hizo mechi 2
Mnaumwa mavi c bure
 
Wachambuzi hewa

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili.

Kwa aina ya uchezaji wa Yanga wa kutegemea goli kipa afanye makosa ndio washinde siioni hiyo nafasi Jumapili.


View attachment 2515258
Haya wewe Kolo upo kwenye hali gani muda huu?

Usiache ushabiki uwepo hapa uzidi kutumia roho Kwa mafanikio ya Yanga.
Dadeeki.
 
Hongera Mkuu.
 
Vipi swimming competition zinaendaje huko philadelphia? Au unashabikia Racing siku hizi? 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…