Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe Ban kwa miezi 6

Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe Ban kwa miezi 6

Screenshot_20230417-083739_Chrome.jpg
 
Leo naona Wachambuzi Uchwala wanao chambua habari za michezo ili kumfurahisha ili wakamkope Mwenyekiti wa Yanga wametulia.

Na Manara Wametulia
 
Kuna mtu huko Shinyanga kaahidi kutoa mke wake kwa shabiki wa Simba kama Yanga itafungwa.

Katoa na Cheti cha ndoa kabisa, na Yanga ikimfunga Simba kaahidi apewe shilingi elfu moja tu yaani buku.

Sijajua kinacho endelea.
Nimeambiwa mwanamke kaamkia kwa jamaa jana, waliomuona alikuwa na kanga moja tu nyepesiiii
 
Back
Top Bottom