Yanga anaweza kutofuzu robo finali CAFCC

HAYA KOJOA ULALE SASA MTOTO MZURI....
 
Nabii uchwara toka Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Madunduka/Mipang'ang'a/Ngada/Zuwena/Kolowizards/Kinyume nyume FC [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Makolokolo wamekupita hapa kama vile vipofu [emoji3]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Umezunguka sana kuandika hicho kichwa cha habari..ungeandika tu kwa ufupi..Yanga hatofuzu robo fainali
 
Kwani Yanga isipofuzu robo fainali CAFCC wewe kolo muanzisha mada utapungukiwa nini?
 
Hata ikatokea tumeshindwa kuendelea hatua ya robo fainali, bado tuna nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wetu wa NBC, na pia ASFC.

Kuna shida nyingine? Mwakani tutashiriki tena.
ASFC kwa msingi upi mkuu ?
 
Ila kiufupi timu mbovu inashindia makosa binafsi ya makipa wa ligi.
Okay. Hiyo ligi yenye makipa wabovu ambao Yanga inashindia makosa yao, Je kuna timu nyingine inashiriki ambayo ipo kwenye mashindano ya kimataifa? Yenyewe unaitabiria nini?
 
Wapuuzi ni wengi hii nchi
 
ASFC kwa msingi upi mkuu ?
Kama kawaida yetu. Tulianza na Ngao ya jamii, tunachukua Kombe la Ligi kuu, na tutamalizia na Kombe la Azam Sports Federation. Yaani tunafanya kama msimu uliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…