Yanga anaweza kutofuzu robo finali CAFCC

Niliongea hapa Sasa Nadhani Mmeona madhara ya Domo kuponza Kichwa😎📌🔨 FT:- YANGA 2 - 0 MONASTIR....Ahsanteni
 
Uko wap wewe mtabiri uchwaraaaa
 
Leo mbinguni wamesaga meno kwa vilio.
Timu yenu ikisemwa inawauma sana hadi nasikia wengine mnagoma kula. Mnasoma comment kwa huzuni na zile zinazowauma saana mnazisave hadi siku mtakapopata kitu cha kujibu 🤣😂🤣 Mna kazi sana!
 
Timu yenu ikisemwa inawauma sana hadi nasikia wengine mnagoma kula. Mnasoma comment kwa huzuni na zile zinazowauma saana mnazisave hadi siku mtakapopata kitu cha kujibu [emoji1787][emoji23][emoji1787] Mna kazi sana!
Risiti za waropokaji lazima tutunze alafu tunazijia baadae ukiwa umeshikwa na aibu sasa kukumbusha usinene ukamala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…