Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Kundi la mikia mabingwa wa nchi zao ni jwaneng na asec,waliobakia viti maalum,kundi la Yanga ndilo kundi lililokutanisha timu zote 4 ni mabingwa wa nchi zao
Ndo mjue ubingwa wenu ulikua wa bahasha maana si kwa moto huu na vichapo mnavyopelekewa...asalaleee
 
Utopolo hamnazo, ombeni wawahamishe kundi mpangwe na timu mtakazo chagua.
 
Hii timu ina wivu wa kije sana... alqays kuikodolea macho simba... pambaneni na kundi lenu...
 
Hizi akili ndio ziliwafanya hao Yanga mpaka sasa kwenye kundi lake anapoint 1 tu na hali yake bado ni mbaya sana kwakua anapenda kujilinganisha na Simba yani hapo ndipo anapofeli kabisa yani toto feiliyaaa...
 
Simba angekua kundi la Yanga angekua anaongoza kundi, hakuna timu ngumu yoyote kundi la Yanga ni kutojua kwao tu ndio kunawafanya waburuze mkia.
 
Nyie nyuma mwiko hivi post zenu hazipati mashiko hadi muitaje Simba?
 
Kumbuka simba aliwa pangwa kundi 1 na huyo mbabe wa Egypt na akaongoza kundi. Nyie mnashindwa nini kupngoza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…