Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Nyie ambao hamkimbii kimbii, tokea msimu huu umeanza, ni mechi ipi ambayo mmeshinda?
Afadhali Simba msimu huu haijashinda,Yanga tangu kuanzishwa kwake hadi sasa haijawahi kushinda mechi yoyote ya makundi klabu bingwa
 
Hivi Makolo watakubali kweli? Ila huo ndio ukweli! Na bado Yanga ana nafasi ya kufanya vizuri tu. Na nikwambie mkuu akitoboa kwenda robo tutarajie ya mwaka jana kujirudia!
 
Huyo uto mwingine keshaanza kuweweseka mapema!! Nimkumbushe tu kuwa huu mkando wa kwenye makundi ambao miaka 25 zilizopita alishika mkia akiwa na ponti 2 hii ndiyo chapions league!! Uto aliingia na makeke akidhani haya ni mashindano ya losers!! Huyo kinara wa kundi lake yaani Al Ahly tulikuwa naye kundi moja na hakufua dafu na Simba akaongoza kundi!! Hii ni champions league siyo confederation aka losers cup!! Tulia uto sindano ikuingie vizuri!! Uto itabidi mzoee map;ema tu kushikilia mkia mwanzo mwisho!! Medeama itawakung'uta nje ndani!!
Kumbuka mlisema mtampiga Al Ahly ndani nje yako wapi sasa? Nawashauri komaeni tu na NBC Premier League!! Huko kwa kimataifa mmepotea njia!!
Uto mnachotakiwa kujua ni kwamba kwenye caf champions league huwa hakuna kibonde labda uto tu ndiyo kibonde!! Subiri kipigo toka kwa medeama ndo ujue kuwa huku siyo kombe la losers!!
 
Story za kufikirika Simba hii mbovu imepata sare mbili mbele ya AHALY Tena AHALY kachomoa na tunasubiri na YANGA Bora ikapate sare mbili mbele ya AHALY,unaleta story za mabingwa wa Ghana ,Algeria Bado haujasema hii ni club bingwa sio shirikisho .
 
Kwani hamruhusiwi kuomba mjiunge na hilo kundi?Akili za kichurachura hizo.
 
Kwani hamruhusiwi kuomba mjiunge na hilo kundi?Akili za kichurachura hizo.
 
Ata Simba angepangiwa kundi la Utopolo basi Simba angeongoza
 
Tumewazoea na upuuzi wenu mwanzo mlisema kuwa kwa Al ahly iliyocheza na Simba Nyinyi mtaitandika Goli..
Kikawakuta kitu Muombe Tu Mungu alikuwa upande wenu Vinginevyo Tumewazoea wazee wa IMAGINATION
Vitendo sifuri..Mngeonyesha hivyo kwanza mkawaprove simba Wrong kwa alahly
 
Simba Ana point 2 kwenye KUNDI la aina Gani? Ukiwa unalinganisha pia uweke na data vizuri usisahau
Acha uzwazwa...Tuliulizana mapema sana hapa kuwa, tuseme mapema kama Young African na CR. B au Young African na Al Ahly nani mbovu...?
Wadau kajibu Young African ndiyo mbovu, na kweli ni mbovu hadi sasa ( 1 point)...
Simba Sc inajulikana tayari kuwa inashida mahali.

Sawa...tuulizane tena kuwa Young African na Modeana, nani mbovu... mimi nasema Modeana ndiyo mbovu...

Usilete habari za, oh! , tupo kundi gumu, mbona mwanzo mlikuwa mnajitamba kuwa mtampiga Al Ahly nje ndani na kwenye kundi hakuna wa kuwatisha...leo ndiyo mnasema kundi lenu ni gumu...

YOUNG AFRICAN ILITIMIZA MALENGO YAKE KITAMBO ( MAKUNDI)
 
Mechi ijayo mwarabu anadroo na mwarabu mwenzake wote watakuwa na point 4
 
he saying the truth. yanga group ni gumu sana. very tactical
Group gumu kwa yanga? Ahaly kwake sio gumu ubora wa yanga uko wapi sasa uliokuwa unasemwa? Before makundi midomoni algeria mlisema mnapafahamu ata sare amkosi ahaly mkawaita unga sahizi kauli zimebabdilka hesabu zimekuwa nyingi. Mashabiki wa Tanzania na raia wote vichwa vina matope
 
Maneno mengi vitendo kidogo kashinde mechi ghana acheni porojo ata ahaly hamkutambua ubora wake before kwasabbu ameshindwa kumfunga simba baada ya mechi ndo akili zimewaajia
 
Tambo ni jambo la kawaida kwenye michezo

Kikubwa Yanga apambane hizi mechi nne zilizobaki apate aidha ushindi au uzoefu

CL ata mwaka kesho ipo
 
"Kama al ahly ametoa droo na simba ,basi sisi tunampiga nje ndani" utamu wa mwiko ulivyonoga nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…