Ilikuwa makundi? Mbona unafananisha maji na mafutaKwani yanga ajawai kumpasua uyo Aly ahly? Goli la cannavaro unalikumbuka wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa makundi? Mbona unafananisha maji na mafutaKwani yanga ajawai kumpasua uyo Aly ahly? Goli la cannavaro unalikumbuka wewe?
Kwenye hatua gani kakufunga mala nne uyo mwaarabu we umemfunga mala ngapi?Kwani yanga ajawai kumpasua uyo Aly ahly? Au ulikuwa ujazaliwa?
Tambo ni sehemu ya mchezoManeno mengi vitendo kidogo kashinde mechi ghana acheni porojo ata ahaly hamkutambua ubora wake before kwasabbu ameshindwa kumfunga simba baada ya mechi ndo akili zimewaajia
"He saying the truth"he saying the truth. yanga group ni gumu sana. very tactical
We baki na historia,ing'ang'anie maana ndo kitu pekee ulichobakiwa nacho kinachokupa matumainiKwenye hatua gani kakufunga mala nne uyo mwaarabu we umemfunga mala ngapi?
We are arleady improving"He saying the truth"
This statement justifies who you are, empty minded with low thinking capacity
Do you remember what came forth after a second tie between Al ahly and Simba, you used to disqualify the Arabs on basis of Simba poor performance, what happened when you meet the Arabs with your currently hypothetical betterment.
However, you were very clearly told and for a sake of football knowledge, let you get informed that football is not an algebraic crossing that if A=2C and B=C the A=2B.
Stay tuned young Africans, Simba has proven a worse performance this season but still delivers as can be seen.
When it comes for a CAFCL, all competing clubs are very tactical and technical regardless of their forms, that is why young Africans are enjoying a play game but dropping points, when it come to an end will end at blaiming Mr Gamond while the truth will stand; that the club needs more tactics and techniques to qualify and apart from there blaims will reside at jangwani knowing no root cause of the failure
A mind change among young Africans is the only weapon missing right now
Umebaki kujifariji na kauli za Yanga"Kama al ahly ametoa droo na simba ,basi sisi tunampiga nje ndani" utamu wa mwiko ulivyonoga nyuma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtasema tyuuhhe saying the truth. yanga group ni gumu sana. very tactical
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yanga mmeshavurugwa wallah.Mwandishi Yuko right sema wewe ndio ujamuelewa unasukumwa na mahaba niue, KUNDI mmepewa mchekea la wakina jwaneng, mwarabu mliyepewa ndio Ivyo anapewa vichapo tu na ni mmoja, yanga Anao mabingwa wa Algeria na mabingwa wa Misri na afrika, wanao mabingwa wa Ghana ivyo wako kwenye KUNDI la kifo tofauti na Simba ambao KUNDI lao ni lakini sana lakini kwakuwa Simba yenyewe imeshakuwa mzoga inaweza Kuona KUNDI lake ni GUMU but yanga ingewaburuza wote hao na kuiongoza KUNDI mapema sanaaa
Al Ahly mbna inaeleweka, final ni yakee.Kwenye group la Yanga, naamini timu moja itacheza fainali. Maana siyo kwa mpira ule wa jana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muongoze kundi na huyo kocha wenu mwenye kichwa kama Cha nguruwe???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii mbna ghafla hiviii?Wala hakuna tatizo. Kwanza sisi Yanga kwa msimu huu malengo yetu makuu yalikuwa ni kufika hatua ya makundi.
Hivyo tukiishia hatua hii, poa tu. Tutajipanga vizuri msimu ujao.
[emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwa wallah, sasa yule andunje ana kipi kipyaa? Mnamkuza bureee, hana loloteUmeifuatilia lakini kwenye mechi zake 3 za mwisho? Kuna mtoto anaitwa Kipre Junior. Ana uwezo wa kupiga chenga kuanzia katikati ya uwanja na kufunga.
Yanga ilishindwa vipi wakati huo?Wakati wa COVID-19 ilikuwa rahisi Simba kuongoza kundi mbele ya Al Ahly.
Badala ya kujipanga dhidi ya Wydad upo unaangaika na YangaYanga ilishindwa vipi wakati huo?
Aahàaaaa
Panga pangua, Waarabu wote wanaenda Robo FinalMechi ijayo mwarabu anadroo na mwarabu mwenzake wote watakuwa na point 4
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi
Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointiacheni
Acheni kuweweseka na kutafuta sababu zisizo na msingi pambaneni hapo hapo mlipo,malalamiko fc mnazingua sanaKwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi
Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
Yanga ilikuwa inashiriki club bingwa?Yanga ilishindwa vipi wakati huo?