Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Unaambia za Chini Chini kwenye Kundi kila Timu inaitamani Yanga ... Ijiokotee kialama ata mana ni uhakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo akishinda mechi mbili anakua na alama 10?
1+6 = 7~ ikaja 10 duh😂😂😂
Mbna medeama inachukuliwa simple simple au kwa kuwa jina siyo maarufu Sanaa tutashangazwa Sana safari hii yanga tukicheza vibay tutajikuta tumekuwa wa mwishoo ktk kundiKila la kheri Chama kubwa Yanga,, Madeama lazima adondoshe point 6 zote dadeki
😂😂😂😂 sasa mkuu kundi zima watu wana above 2 points halafu mmoja ndo hana what do you think they think of you😁😁😁Kama unaamini hivyo na si ushabiki, basi akili yako haitoshi kufanya reasoning.
Tuombe uzima tu.😂😂😂😂 sasa mkuu kundi zima watu wana above 2 points halafu mmoja ndo hana what do you think they think of you😁😁😁
Reasoning wewe ndo unafanya unataka kusema nini ambacho kinakufanya usiwe mchekea
Kwenye kundi unaongoza kwa kufungwa
Una point moja
Wa mwisho kwenye kundi
Haya sema what makes you think the opponents won't (don't😁😁) see you as mchekea of kundi
Tutafanya hiviSiyo rahisi kihivyo. Yanga ikitoka sare kule Ghana ihesabu imeaga mashindano ingawa kimahesabu kila kitu kinawezekana
Mimi kama shabiki wa lunyasiKwa Mediama gamond akifunguka wameumia bora watafute point 1
inshallah kwa uwezo wa MolaKwa kikosi walichonacho na uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja bila kusahau wanavyoendelea kurekebisha makosa yao, naiona Yanga hii ikitinga hatua ya robo fainali mapema tu. Hata msimamo katika kundi lao, bado unatoa nafasi kwa kila timu kusonga mbele huku nikiamini Yanga yuko katika nafasi nzuri zaidi.
CRB anakwenga kufungwa Cairo katika mechi ijayo kwani Al Ahyl atataka kujihakikishia nafasi mapema tu kupitia mechi ya nyumbani huku Yanga ama akitoa sare huko Ghana au hata kushinda. Medeane akija Bongo, anachapika, kwahiyo tuna uhakika wa pointi 4 mpaka 6.CRB akija Bongo nae tunamaliza hesabu kujihakikishia ushindi/nafasi ya kufuzu.
Pia, Yanga atacheza mechi ya mwisho na Al Ahyl ambae atakuwa ameshafuzu wakati huo na atakuwa hana cha kupoteza na hivyo kuongeza uwezekano wa Yanga kutoka nae sare na hata kumfunga akiwa kwao(Cairo).
Muda utathibitisha,
Unaposema “mapema sana” unamaanisha baada ya mechi ngapi?Kwa kikosi walichonacho na uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja bila kusahau wanavyoendelea kurekebisha makosa yao, naiona Yanga hii ikitinga hatua ya robo fainali mapema tu. Hata msimamo katika kundi lao, bado unatoa nafasi kwa kila timu kusonga mbele huku nikiamini Yanga yuko katika nafasi nzuri zaidi.
CRB anakwenga kufungwa Cairo katika mechi ijayo kwani Al Ahyl atataka kujihakikishia nafasi mapema tu kupitia mechi ya nyumbani huku Yanga ama akitoa sare huko Ghana au hata kushinda. Medeane akija Bongo, anachapika, kwahiyo tuna uhakika wa pointi 4 mpaka 6.CRB akija Bongo nae tunamaliza hesabu kujihakikishia ushindi/nafasi ya kufuzu.
Pia, Yanga atacheza mechi ya mwisho na Al Ahyl ambae atakuwa ameshafuzu wakati huo na atakuwa hana cha kupoteza na hivyo kuongeza uwezekano wa Yanga kutoka nae sare na hata kumfunga akiwa kwao(Cairo).
Muda utathibitisha,
Wanaongea sana mashabiki wa utopolo. Mwaka Jana (2022)walipita uchochoroni wakafika fainali ya shirikisho. Ila mwaka huu kazi wanayo.Mlitutangazia mnavaa misuli ili mje kuifundisha dunia jinsi ya kuifunga Ahly home and away?, vipi mnaongoza kundi kwa points ngapi?
Unakumbuka kuwa utopolo walishacheza mechi mbili na wamevuna pwent moja tu???Kwa kikosi walichonacho na uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja bila kusahau wanavyoendelea kurekebisha makosa yao, naiona Yanga hii ikitinga hatua ya robo fainali mapema tu. Hata msimamo katika kundi lao, bado unatoa nafasi kwa kila timu kusonga mbele huku nikiamini Yanga yuko katika nafasi nzuri zaidi.
CRB anakwenga kufungwa Cairo katika mechi ijayo kwani Al Ahyl atataka kujihakikishia nafasi mapema tu kupitia mechi ya nyumbani huku Yanga ama akitoa sare huko Ghana au hata kushinda. Medeane akija Bongo, anachapika, kwahiyo tuna uhakika wa pointi 4 mpaka 6.CRB akija Bongo nae tunamaliza hesabu kujihakikishia ushindi/nafasi ya kufuzu.
Pia, Yanga atacheza mechi ya mwisho na Al Ahyl ambae atakuwa ameshafuzu wakati huo na atakuwa hana cha kupoteza na hivyo kuongeza uwezekano wa Yanga kutoka nae sare na hata kumfunga akiwa kwao(Cairo).
Muda utathibitisha,
Madunduka kolos 5G yanavyo chonga as if tayari yameshavuka ile robo yao ya kila mwaka.Unakumbuka kuwa utopolo walishacheza mechi mbili na wamevuna pwent moja tu???View attachment 2834688
Yametimia.Kila la kheri Chama kubwa Yanga,, Madeama lazima adondoshe point 6 zote dadeki
Tumeshaziba hili shimoYanga Bora inamvizia Medeama. Cha ajabu Medeama atashinda mechi zake dhidi ya Yanga.
Haya mashindano sio Shirikisho