toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
NaaaamCase closed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NaaaamCase closed
Mkuu Salary Slip uko vzrbkwa utabiriKwa kikosi walichonacho na uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja bila kusahau wanavyoendelea kurekebisha makosa yao, naiona Yanga hii ikitinga hatua ya robo fainali mapema tu. Hata msimamo katika kundi lao, bado unatoa nafasi kwa kila timu kusonga mbele huku nikiamini Yanga yuko katika nafasi nzuri zaidi.
CRB anakwenga kufungwa Cairo katika mechi ijayo kwani Al Ahyl atataka kujihakikishia nafasi mapema tu kupitia mechi ya nyumbani huku Yanga ama akitoa sare huko Ghana au hata kushinda. Medeane akija Bongo, anachapika, kwahiyo tuna uhakika wa pointi 4 mpaka 6.CRB akija Bongo nae tunamaliza hesabu kujihakikishia ushindi/nafasi ya kufuzu.
Pia, Yanga atacheza mechi ya mwisho na Al Ahyl ambae atakuwa ameshafuzu wakati huo na atakuwa hana cha kupoteza na hivyo kuongeza uwezekano wa Yanga kutoka nae sare na hata kumfunga akiwa kwao(Cairo).
Muda utathibitisha,