Yanga atafika hatua ya robo fainali tena kwa kujihakikishia nafasi mapema kabisa

Yametimia.
Kabisa mkuu yametimia. Utabiri wako ulikuwa sahihi sana. YANGA ingekuwa imeshafuzu kitambo. Tatizo lililotibua kufuzu mapema ni Ile mechi ya kwanza YANGA walimchukulia kwa urahisi sana Belouizdad. Mpira walitawala lakini wakafingwa 3. Ile mechi ndio iliyoichelewasha YANGA. Leo YANGA wamedhihirisha kwamba hawa walikuwa wetu
 
Wanaongea sana mashabiki wa utopolo. Mwaka Jana (2022)walipita uchochoroni wakafika fainali ya shirikisho. Ila mwaka huu kazi wanayo.
Binafsi naona watamaliza kundi wakiwa nafasi ya 4 au 3, yaani kufizu kwao ni sawa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Wewe sio mungu na ndio maana una roho mbaya sana na sisi ndio Yanga SC wewe 😂😂😂🤣
 
Kwa kikosi walichonacho na uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja bila kusahau wanavyoendelea kurekebisha makosa yao, naiona Yanga hii ikitinga hatua ya robo fainali mapema tu. Hata msimamo katika kundi lao, bado unatoa nafasi kwa kila timu kusonga mbele huku nikiamini Yanga yuko katika nafasi nzuri zaidi.

CRB anakwenga kufungwa Cairo katika mechi ijayo kwani Al Ahyl atataka kujihakikishia nafasi mapema tu kupitia mechi ya nyumbani huku Yanga ama akitoa sare huko Ghana au hata kushinda. Medeane akija Bongo, anachapika, kwahiyo tuna uhakika wa pointi 4 mpaka 6.CRB akija Bongo nae tunamaliza hesabu kujihakikishia ushindi/nafasi ya kufuzu.

Pia, Yanga atacheza mechi ya mwisho na Al Ahyl ambae atakuwa ameshafuzu wakati huo na atakuwa hana cha kupoteza na hivyo kuongeza uwezekano wa Yanga kutoka nae sare na hata kumfunga akiwa kwao(Cairo).

Muda utathibitisha,
Watu wanaona mbali Santa aisee
 
🤣😁😁😁
Hoja zingine tunazileta kuwagusa kunako wanayanga maana najuaga jinsi ya kuwachokonoa waje watetee kilabu chao.

Na kwa jinsi ninavyoziletaga hoja zangu kwa hoja konki wanayanga wengi wanaogopaga kuchangia. Nilichosema kikishindikana ndiyo unaona wananivamia.
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣Kaka kaka 🤣😁😂
 
Kwa kikosi walichonacho na uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja bila kusahau wanavyoendelea kurekebisha makosa yao, naiona Yanga hii ikitinga hatua ya robo fainali mapema tu. Hata msimamo katika kundi lao, bado unatoa nafasi kwa kila timu kusonga mbele huku nikiamini Yanga yuko katika nafasi nzuri zaidi.

CRB anakwenga kufungwa Cairo katika mechi ijayo kwani Al Ahyl atataka kujihakikishia nafasi mapema tu kupitia mechi ya nyumbani huku Yanga ama akitoa sare huko Ghana au hata kushinda. Medeane akija Bongo, anachapika, kwahiyo tuna uhakika wa pointi 4 mpaka 6.CRB akija Bongo nae tunamaliza hesabu kujihakikishia ushindi/nafasi ya kufuzu.

Pia, Yanga atacheza mechi ya mwisho na Al Ahyl ambae atakuwa ameshafuzu wakati huo na atakuwa hana cha kupoteza na hivyo kuongeza uwezekano wa Yanga kutoka nae sare na hata kumfunga akiwa kwao(Cairo).

Muda utathibitisha,
Ulikuwa sahihi
 
Kwenye hatua ya makundi ukisubiri mechi ya mwisho ili uvuke unakuwa umeshachelewa. Sijaelewa unaposema Yanga itakuwa imejihakikishia nafasi mapema hata kwa kutoka sare mechi inayofuata wakati akipata natokeo hayo itabidi apate matokeo dhidi ya CRB na Al Ahly. Hiyo mapema ni ipi?
Now unasemaje
 
Back
Top Bottom