Yanga atafika hatua ya robo fainali tena kwa kujihakikishia nafasi mapema kabisa

Yametimia.
Kabisa mkuu yametimia. Utabiri wako ulikuwa sahihi sana. YANGA ingekuwa imeshafuzu kitambo. Tatizo lililotibua kufuzu mapema ni Ile mechi ya kwanza YANGA walimchukulia kwa urahisi sana Belouizdad. Mpira walitawala lakini wakafingwa 3. Ile mechi ndio iliyoichelewasha YANGA. Leo YANGA wamedhihirisha kwamba hawa walikuwa wetu
 
Wewe sio mungu na ndio maana una roho mbaya sana na sisi ndio Yanga SC wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Watu wanaona mbali Santa aisee
 
🀣😁😁😁
Hoja zingine tunazileta kuwagusa kunako wanayanga maana najuaga jinsi ya kuwachokonoa waje watetee kilabu chao.

Na kwa jinsi ninavyoziletaga hoja zangu kwa hoja konki wanayanga wengi wanaogopaga kuchangia. Nilichosema kikishindikana ndiyo unaona wananivamia.
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁🀣🀣🀣Kaka kaka πŸ€£πŸ˜πŸ˜‚
 
Ulikuwa sahihi
 
Now unasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…