Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Waambie wafanye upesi mkuu, wanachelewa sanaWataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa.
Samia anaharibu nchi, kaharibu na mpira.
Suburi uoneHakuna kitu kama hicho
kuna zaid ya hii?????Wataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa.
Samia anaharibu nchi, kaharibu na mpira.
Watatosha kweli kwenye kale ka kisiwa?Wataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa.
Samia anaharibu nchi, kaharibu na mpira.
HahahaaInawezekana asilimia kubwa ya marefa nchini ni wafuasi wa simba kindakindaki, ama wanauhusiano wa kinyemela [wanazunguka mbuyu] na benchi la simba...
Ukiachana na ubora wa Yanga simba kinachowaponza ni itikadi yao ya mbinu/figisu za hila katika mpira...
Wakiacha mbinu chafuchafu wananyanyua kwapa msimu huu.
Wanaitwa we-kundu wa msimbazi. Elewa neno kundu.Huyu Karia na Kunya Kunya FC ndiyo wanaharibu ligi