CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Ndoto hii inatufundisha nini?
Amka toka usingiziniWataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa.
Samia anaharibu nchi, kaharibu na mpira.
Tulia uoneAmka toka usingizini