Yanga bad signing this season ni Dube, Boka, Chama and Baleke

Mzize bado sana. Kuna mpira akiwa kwenye box alitakiwa kupiga shuti badala yake anaendelea kupiga chenga mabeki , sasa sijui alitaka kupiga chenga hadi milingoto ya goli. Afundishwe kufunga sababu kuji position keshajua
hata hivyo kwa signing iliyopo, kama kocha atawapa maelekezo vizuri, na wakataka kutumia nafasi vizuri, itakuwa nzuri sana. mfano, goli la pili yanga leo halikutakiwa kufungwa kama mabeki wawili nyuma ya mfungaji wangeenda kumkaba. watu wawili wapo nyuma wanatembea kama hawana miguu.
 
Mpumalanga, Republic of South Africa

FC Augsburg wins the friendly match in the Mpumalanga Premier's International Cup against Young Africans SC from Tanzania! FCA TV has the highlights of the game!

#FCAinMpumalanga | #Highlights | Young Africans SC vs. FC Augsburg

View: https://m.youtube.com/watch?v=CDk6m7vreVADer FC Augsburg gewinnt das Testspiel im Rahmen des Mpumalanga Premier's International Cup gegen den Young Africans SC aus Tansania! Das FCA TV hat die Highlights der Partie!

Source : FC Augsburg
 
Hivi wewe jamaa ni Mwananchi mwenzetu kama ambavyo huwa unajinadi? Kutwa kuja na nyuzi za mafarakano au ukosoaji.

Unawapima wachezaji kwa mechi moja? Uko sawasawa kweli?
Achana nae huyo
 
Hivi wewe jamaa ni Mwananchi mwenzetu kama ambavyo huwa unajinadi? Kutwa kuja na nyuzi za mafarakano au ukosoaji.

Unawapima wachezaji kwa mechi moja? Uko sawasawa kweli?
Mzee Magoma huyo
 
Mbona kigiriki na kiyahudi kingi ndugu mwana lunyasiii.
 
Too soon to make judgement!
 
Unawezaje kuwahukumu wachezaji kwa mechi ya kwanza ya pre season. Nadhani wapewe muda wazoe timu, ni wachezaji wazuri. Pacome alivyokuja naye hakueleweka ila baada ya muda watu wakaukubali mziki wake.
 
Mzize ni mzigo Gamondi ana mahaba naye bado anahita sipana yaani mazoezi yakutosha ya ufundi wa kufunga magoli lakini chetu ni chetu
Kinacho mbeba Mzize ni uraia na umri wake labda, lakini naamini hata kocha anakerwa na madudu yake.
Ila hata mimi kwaupande wangu, kwa wachezaji wa zawa, kwenye nafasi anazocheza Mzize, naanza na Mzize, sioni mbadala wake.
Mzize ndani anacheza kwa morali,akikaribia goli,hawezi kabisa kufunga,yaani kwakweli asiwe anawekwa kwenye mechi muhimu,anakera sana.
 
Mzize ndiye mshambuliaji aliyecheza muda mwingi zaidi pale yanga msimu uliopita, na ndiye mshambuliaji mwenye performance mbovu kuliko hata waliocheza muda mchache.

Alichokifanya leo uwanjani ndicho anachokifanya siku zote, muda aliopewa unatosha, aende club inayoenda na ubora wake
 
Mzize ndani anacheza kwa morali,akikaribia goli,hawezi kabisa kufunga,yaani kwakweli asiwe anawekwa kwenye mechi muhimu,anakera sana.
Muda aliopewa unatosha, huwezi kumpa dakika 80 mshambuliaji butu kama mzize tena kwa club kubwa kama yanga
 
Mzize bado sana. Kuna mpira akiwa kwenye box alitakiwa kupiga shuti badala yake anaendelea kupiga chenga mabeki , sasa sijui alitaka kupiga chenga hadi milingoto ya goli. Afundishwe kufunga sababu kuji position keshajua
Hatuwezi kuwa na mshambuliaji butu kama huyo na tukaendelea kumvumilia. Amepewa nafasi kubwa sana msimu uliopita lakini hajaonekana ku improve kwa chochote.
 
Shida hamtaki kuambiwa ukweli Vyura FC
Hivi wewe jamaa ni Mwananchi mwenzetu kama ambavyo huwa unajinadi? Kutwa kuja na nyuzi za mafarakano au ukosoaji.

Unawapima wachezaji kwa mechi moja? Uko sawasawa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…